Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Only in bongo mtu anaweza kujisifia kwa vibenzi vya tangu enzi za Nyerere ambavyo sehemu nyingine haviruhusiwi hata kuwa taxi kwa sababu vimezeeka sana.

Halafu watu hawaelewi tofauti ya asset na liability.

Sasa huyu angekuwa na Porsche Macan Turbo 2015 kama ya my dude mngesemaje?

Cc Nyani Ngabu
Wabeba box hii inawauma zaidi ya mama mjamzito,miaka yote mliobeba box mmeishia kujua slang tu,mfukoni hamna kitu.
 
Last edited by a moderator:
Wabeba box hii inawauma zaidi ya mama mjamzito,miaka yote mliobeba box mmeishia kujua slang tu,mfukoni hamna kitu.

Kuna watu wao maisha yao qameyatoa kitafuta dawa ya kansa na ku solve Poincare's conjecture.

Hawana hela wala nini.

Wamepata zawadi mwishowe, milioni za dola, wakakataa.

Ukiwa unatukuza hela wewe si lazima kila mtu awe hivyo.

Do you even know what Poincare's conjecture is?
 
Wewe unatafuta nini?
 
Nimeona kama niulimbukkeni wa kupindukia kama ni magari ni yake majumba niyake na kama nifaida anaipata mwenyewe au nikuazimisha aitwe bilionea nimeona niulimbukeni tuu na hakuna tofati nahao wanaoringia vya babazao very board
 
Huyu jamAa na rafiki yake babu jinga lemutz akili zao moja cuz wht i blv mwenye hhelA hajitangazi ilLa hela nddio inamtanggaza yeye
 
Nimeona kama niulimbukkeni wa kupindukia kama ni magari ni yake majumba niyake na kama nifaida anaipata mwenyewe au nikuazimisha aitwe bilionea nimeona niulimbukeni tuu na hakuna tofati nahao wanaoringia vya babazao very board

Ukumbuke pia hata hiyo akaunti ya Instagram alipoweka hizo picha ni ya kwake binafsi
#GetAngry #GetInsipired
 
Mtanzania akipata hela bana!!! Ila kwa ulimwengu wa tatu lazima tumpe hongera japo kuji proud kwa kumilik magari ni ushamba!!! Bora angejiproud kuwa anamiliki bank, majumba, anamiliki kampuni flan na flan...
 
sasa hiyo [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Get]#Get angry[/URL] [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Get]#Get inspired[/URL] ina faida gani kwa watu wengine zaidi ya kuringishia tuu. mbona uko chadema kuna kina zito na kina mbowe wana hela ndefu zaidi na hawaposti instagram? na wanasheria kina mkono nao wafanyeje? au wakina Masha nao waringishie itakuwaje? kuinspire watu siyo kuwaringishia magari yako hebu ona Mengi anavyoangaika na kina mama na saccos ndo ujue maana ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Get]#Get angry[/URL] [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Get]#Get inspired[/URL]

Ha ha ha Akili ndogo utazijua tu kwa maneno yao. #Get Agry #Get Inspired. aliyekuzidi awe chachu ya wewe kutafuta na kumchukua haisaiidii:becky:
 
Range gari ya kutengenezwa na TATA wahindi watu washaacha kutumia siku hizi. Tumewaachia hoi polloi, gari tulikuwa tunatumia 1995 Range Rover Vogue wakati inatengenezwa na Muingereza ina heshima yake.

Hata baby mama kumnunulia ni kama unamtusi vile.

Sema jingine.
Tatizo liko wapi? Tupe instagram account yako na wewe tuone una nini:becky:. Ktranga kweli kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom