Dukebwoy JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 223 Reaction score 83 Feb 1, 2016 #481 Hapa kazi tuu
F Fideline JF-Expert Member Joined Mar 4, 2011 Posts 234 Reaction score 124 Feb 26, 2016 #482 PAGAN said: Huyo jamaa anayeitwa Nyundo Kipozeo ana account nyingine nyingi humu, nyingine Kahtaan, sijui nyingine anajiitaje. Kwanza mdini halafu anatukana watu humu kutwa nzima. Jamaa mpuuzi sana huyu. Click to expand... Kweli mkuu.Nimetoka kumjibu kwenye uzi mmoja pale alipodanganya kuwa Nguruwe anableed kama binadamu. Yeye kutokula Nguruwe basi anataka watu wote wasile.
PAGAN said: Huyo jamaa anayeitwa Nyundo Kipozeo ana account nyingine nyingi humu, nyingine Kahtaan, sijui nyingine anajiitaje. Kwanza mdini halafu anatukana watu humu kutwa nzima. Jamaa mpuuzi sana huyu. Click to expand... Kweli mkuu.Nimetoka kumjibu kwenye uzi mmoja pale alipodanganya kuwa Nguruwe anableed kama binadamu. Yeye kutokula Nguruwe basi anataka watu wote wasile.
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Feb 26, 2016 #483 Freelancer said: Tatizo liko wapi? Tupe instagram account yako na wewe tuone una nini:becky:. Ktranga kweli kweli Click to expand... eeh makubwa kwa hyo instgram ndo imekua kipimo cha utajiri wa mtu? Jesus fix this..kumbe ndio maana sasa nimeelewa
Freelancer said: Tatizo liko wapi? Tupe instagram account yako na wewe tuone una nini:becky:. Ktranga kweli kweli Click to expand... eeh makubwa kwa hyo instgram ndo imekua kipimo cha utajiri wa mtu? Jesus fix this..kumbe ndio maana sasa nimeelewa