Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu.Nimetoka kumjibu kwenye uzi mmoja pale alipodanganya kuwa Nguruwe anableed kama binadamu.Huyo jamaa anayeitwa Nyundo Kipozeo ana account nyingine nyingi humu, nyingine Kahtaan, sijui nyingine anajiitaje. Kwanza mdini halafu anatukana watu humu kutwa nzima. Jamaa mpuuzi sana huyu.
eeh makubwa kwa hyo instgram ndo imekua kipimo cha utajiri wa mtu? Jesus fix this..kumbe ndio maana sasa nimeelewaTatizo liko wapi? Tupe instagram account yako na wewe tuone una nini:becky:. Ktranga kweli kweli