Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Hahahaaa manake hata nyumba yenyewe ya kawaida tu.

I mean, yaani hicho ki-benz kimeenda age halafu unapiga nacho picha na kuziweka mtandaoni?

Oh well, to each his own.

Duh, kibenz cha macho ya paka tangu enzi za Nyerere.

Nakumbuka Nyerere alikuwa nacho kimoja cha hivi anakitumia.

Wabongo wengine hata hawajui kwamba kuringishia kibenzi hiki ni scandal, nchi nyingine huruhusiwi hata kukifanya taxi on the grounds kwanza kimepitwa na wakati.
 
Msando ana pesa kupita viongozi na washabiki wote wa Chadema. Hata Mbowe na Ndesamburo hawaoni ndani. Uwakili unalipa sana. Nyie misukule ya Chadema mwenzenu Msando anatafuta hela nyie mnashindia maandamano na vurugu kila siku.
 

Sasa standard za Kansas huwezi zitumia Dar, so kwa kiwango cha vumbini bado ni chuma cha ukweli👎
 

Naikumbuka sana hiyo ya Mchonga.

Lakini ndo mambo ya kibongo bongo hayo.

We fikiria tu eti Le Mutuz naye ni bilionea...

Hahahaaa seriously?
 
ha haaa mie mwenyewe nime 'get inspired'
hapo kuwa kabla hujaanza leta fujo mjini kwa kina amu na wenzie
basi lishe na gym kwanza haha haaaa

Hahahahahahahahaha
Kwa post ya amu wallahi Albert atatamani kuweka video ya shughuli zake!
Kutetea utajiri wake na pande hizo
Aseee amemuua vibaaaaaya!
Dah!
Kama namuona na vile vizibao vyake!
 
Last edited by a moderator:


Unanivunja mbavu...hahaa
kwa hiyo nchi zingine wakikiona tu barabarani 'hewa inachafuka'
ni ishara ya usalama hatarishi hahahaaa
 
Hahahahahahahahaha
Kwa post ya amu wallahi Albert atatamani kuweka video ya shughuli zake!
Kutetea utajiri wake na pande hizo
Aseee amemuua vibaaaaaya!
Dah!
Kama namuona na vile vizibao vyake!


hahaaa unajua anapaswa ku deal na wadada waliopitia Arusha school na Nairobi huko tu

akija kwa watoto wa mjini ambao wewe magomeni kwa macheni ni kituo cha basi
wao macheni wanamjua hadi shangazi yake basi lazima uwe fit kote kote
sio dakika mbili unahema hema...mwisho ndo haya.....hahaha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…