Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Unaaaanza water waaaaater!
Chupa taaaatu chini,
Analeta za hotdog na juice ya azam kwa watoto wa mbwa!
Lazma wamfanye kitu mbaya kama hiii!
Haoni mwenzie Rumishael hawaachi wakapumua,wanapangaaana tu clinic!.
 
Kwa maisha ya Msando kuna wabeba box kibao hawawezi kumfikia hadi wengine wanafikia nyumban wakitoka. Nina uhakika hiyo range wengine huko huko mnaishia kuiona kwa watu.
 
Kwa maisha ya Msando kuna wabeba box kibao hawawezi kumfikia hadi wengine wanafikia nyumban wakitoka. Nina uhakika hiyo range wengine huko huko mnaishia kuiona kwa watu.

Mkuu acha maisha ya ku imagine na ku assume..
Range Rover Evoque hapa hapa Tz unaipata mpya kwa dola 1300 tu kwa mwezi

huko majuu ndo kabisa watu wanalipa dola 300 tu kwa mwezi na wanaendesha gari mpya za kila aina...

vitu vingine tunaviona vikubwa sababu hatuna infos
 
Kiukweli katika dunia ya world wide web tunapaswa kuwa makini na tunavyo ringishia...
usije na wewe kutuwekea madera yako yale kumi ya kariakoo...ukajiita 'fashionista' ha haaa
mwenzaaaaangu!
 
Kwa maisha ya Msando kuna wabeba box kibao hawawezi kumfikia hadi wengine wanafikia nyumban wakitoka. Nina uhakika hiyo range wengine huko huko mnaishia kuiona kwa watu.

Kwani ana maisha gani huyo jamaa?

Na kwani kufikia nyumbani kuna ubaya?

Na kwa taarifa yako kuwa na Range Rover wala siyo ishu mbona....

Watu wanamiliki cribs kuanzia Mbezi Beach mpaka Ikungu na wala hawana muda wa kupost huko kwenye hayo ma social media.
 
Tuonyesha macribs yako mukubwa. Au unajibanza kwenye kachumba na sebule hapo kwenye hiyo flat mbovu
 
Mwenzio anatamani kuwa na traffic lights nyumbani oh!.
We kagari kamoja hako hako umpelekee cutie wako shule,mwenzio kaboy kake kanajenga ghorofa na noti za dollars!
 
Mwenzio anatamani kuwa na traffic lights nyumbani oh!.
We kagari kamoja hako hako umpelekee cutie wako shule,mwenzio kaboy kake kanajenga ghorofa na noti za dollars!

Kwa wanaojua kutengeneza na ku maintain wealth magari ni moja ya investments mbovu kabisa!

Halafu hizo noti nyekundu siyo (US) dollars....labda kama ni Arusha dollars:becky:
 
Kwa wanaojua kutengeneza na ku maintain wealth magari ni moja ya investments mbovu kabisa!

Halafu hizo noti nyekundu siyo (US) dollars....labda kama ni Arusha dollars:becky:

Inaonyesha una maisha magumu sana, rudi tu hom uungane na Le mutuz kumiliki blogu
 
sasa wewe unatakaje#kwakifupiweweumegetangry hahahahahahahaaa gooooo boy goooooooo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…