Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Tena atupishe Amu asitake tukaweka screenshots zake umu..shughuli yenyewe hawezi, anahonga tu ili kufunika udhaifu..mkewe maskini hayo magari hata raha nayo hana..ushauri tu kula kidogo basi tupate hata pa kukushika..

Haaaaa lol... eti ale mpate kwa kushika mweeeee
 
msando simkubali kihivyo ila baada ya kupitia huu uzi nimegundua kawakomesha wengi hadi humu ndani...watu wamepanic!

Hahahah kawakomesha hatari watu wivu umewajaa get angry get inspired punguza kuwa idle jf all day long fanya kazi kwa bidii eti unakuwa inspired na watu wenye apartments wakati we kapuku tu get a life looser
 
Now that's whats up.

These little itinerant hagiographing cheap groupies...

Nimekusoma,, let those who r to be moved out of their styles believe in others..

And those who praise theirs.! Stick to em!
 
Me too get inspire usiruhusu moyo wako kujaa chuki bila sababu aliye pewa kapewa punguza kutokwa povu msipanic ni maisha tu

Pia usiruhusu moyo wako kuona kila critic ana chuki.

Kama kupigapiga picha na mahela ni style ya ma gangsta rappers iliyopitwa na wakati miaka ya 1980's na watu wanaojifanya wanajua mambo leo wanaiendeleza tutasema tu.

I'm full of paper, not money, it's bank statements.
I don't flaunt that around in yards and back pavements.
 
Huwa anani inspire tu huyu Msando... achilia mbali picha zake, kuna post huwa anatupia zina ujumbe haswa..

I choose to be #inspired

Mi pia ana ni inspire sana tu katoka mbali kwao mabogin enzi hizo ndio kaja arusha kuanza maisha kwa advocate mawala he ws very innocent.tangu azishike duh..
ila jamaa ana ulimbukeni flani wa hela na wanawake ndio unaonitoa povu apa
 
Kwa wale wenye chuki na maendeleo ya huyu kijana huu ni ujumbe wa alberto msando kutoka kwenye Wall yake FB jifunzeni hapa!

Ni rahisi sana kuwa rafiki wa kweli. Jitahidi katika maisha yako kuwa rafiki wa kweli. Jitahidi. Jaribu haya machache;

1. Hupendi anachokipost: Usitukane. Usimkebehi. Usimseme kwa rafiki zake. Usimdharau. MSHAURI. MWAMBIE VILE UNAVYOFIKIRIA.
2. Anaandika kile usichokiamini: usitukane. Usipuuze. JADILIANA nae. MUELIMISHE. Kubali KUTOFAUTIANA kwa hoja.

3. Ana akili na maarifa zaidi yako: Usijenge chuki. Usimchukie kimya kimya. Usiwe na roho ya husda. Usimfitini. JIFUNZE KUTOKA KWAKE. TUMIA MAARIFA YAKE. MTIE MOYO.
4. Umemzidi kwa mambo mengi: Usimdharau. Usimpuuze. Usimtenge. MSAIDIE AFANIKIWE. MSHAURI. MUONYESHE NJIA.
5. Ana tabia usizozipenda. Ni mlevi, malaya, tapeli, muongo, mlaghai, ana wivu, mchochezi, fitna: Usimchukie. MPENDE ZAIDI. MSAIDIE. MSHAURI. MLINDE. MUUOMBEE. MSHAURI TENA.
6. Huwezi kufanya hayo: ACHANA NA MAISHA YAKE. ISHI MAISHA YAKO. Usifuatilie kapost nini, kaandika nini, amevaa nini, ana mpenzi gani, anafanya kazi gani, anaishi wapi, amekula nini nk. Acha kumfuata Instagram, FaceBook, Twitter, Mtaani nk. Msahau kama yupo. Bado utakuwa rafiki wa kweli.
Ishi maisha chanya kwa kujitahidi kuwa rafiki wa kweli. Kwa kuishi vizuri na watu maisha yako yanakuwa bora zaidi. Usijifikirie mwenyewe. Hauishi kama kisiwa.
Unafiki ni tabia ambayo mwenye nayo hajui. Yeye anaona yuko sawa. Lakini ndani yake moyo wake unauma na roho yake inasagika. Usitake kuishi maisha hayo.

‪#‎BePositive‬ ‪#‎MaishaNiMafupiKutukananaNaKuoneanaWivu‬ ‪#‎BeATrueFriend‬ ‪#‎BeReal‬ ‪#‎HappyLife‬ ‪#‎BeBetter‬

Mtag rafiki yako/zako wa kweli!!! AGM 2014.
Like
Comment
 
Last edited by a moderator:
Circles fulani kiwanja mwanamme anayependa kulingishia magari anaonekana ana compensante kwamba hajajaaliwa na mungu kunako uanaume.

Na kuna mtu hapa (nafikiri ni amu) kasema kitu kama hicho bila ya kuwa kwenye circles hizo.

Now I ain't about talking about another man's manhood, but the theory is flaunted out there in multiple dimensions.

In any case, an overconsumption of fancy possession is an attempt at compensanting for some other deficiencies in someone's life.

Especially if that overconsumption is done not only for personal enjoyment (as in having so many fancy cars and just enjoying driving fancy cars) but also flashing the objects conspicuously (as in flashing photos of all your fancy cars on Instagram).
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wenye chuki na maendeleo ya huyu kijana huu ni ujumbe wa alberto msando kutoka kwenye Wall yake FB jifunzeni hapa!

Ni rahisi sana kuwa rafiki wa kweli. Jitahidi katika maisha yako kuwa rafiki wa kweli. Jitahidi. Jaribu haya machache;

1. Hupendi anachokipost: Usitukane. Usimkebehi. Usimseme kwa rafiki zake. Usimdharau. MSHAURI. MWAMBIE VILE UNAVYOFIKIRIA.
2. Anaandika kile usichokiamini: usitukane. Usipuuze. JADILIANA nae. MUELIMISHE. Kubali KUTOFAUTIANA kwa hoja.

3. Ana akili na maarifa zaidi yako: Usijenge chuki. Usimchukie kimya kimya. Usiwe na roho ya husda. Usimfitini. JIFUNZE KUTOKA KWAKE. TUMIA MAARIFA YAKE. MTIE MOYO.
4. Umemzidi kwa mambo mengi: Usimdharau. Usimpuuze. Usimtenge. MSAIDIE AFANIKIWE. MSHAURI. MUONYESHE NJIA.
5. Ana tabia usizozipenda. Ni mlevi, malaya, tapeli, muongo, mlaghai, ana wivu, mchochezi, fitna: Usimchukie. MPENDE ZAIDI. MSAIDIE. MSHAURI. MLINDE. MUUOMBEE. MSHAURI TENA.
6. Huwezi kufanya hayo: ACHANA NA MAISHA YAKE. ISHI MAISHA YAKO. Usifuatilie kapost nini, kaandika nini, amevaa nini, ana mpenzi gani, anafanya kazi gani, anaishi wapi, amekula nini nk. Acha kumfuata Instagram, FaceBook, Twitter, Mtaani nk. Msahau kama yupo. Bado utakuwa rafiki wa kweli.
Ishi maisha chanya kwa kujitahidi kuwa rafiki wa kweli. Kwa kuishi vizuri na watu maisha yako yanakuwa bora zaidi. Usijifikirie mwenyewe. Hauishi kama kisiwa.
Unafiki ni tabia ambayo mwenye nayo hajui. Yeye anaona yuko sawa. Lakini ndani yake moyo wake unauma na roho yake inasagika. Usitake kuishi maisha hayo.

‪#‎BePositive‬ ‪#‎MaishaNiMafupiKutukananaNaKuoneanaWivu‬ ‪#‎BeATrueFriend‬ ‪#‎BeReal‬ ‪#‎HappyLife‬ ‪#‎BeBetter‬

Mtag rafiki yako/zako wa kweli!!! AGM 2014.
Like
Comment

First thing first,

Rule number one, critics hapa hawasemi kwa chuki.

Ushauri kama anavyosema yeye.

Ku flash hela na vibenzi vya enzi za Nyerere si ujanja.

Kama anahela anunue nyumba Malibu.

Kimyakimya kama Cowizzy, hizi za picha picha wazee watazichukua kwa wizi!

Pia kupiga picha na fedha za madafu ambazo zinabebwa kwa mkokoteni ni ushamba. Watu waliacha kupiga picha na hela tangu 1980's kaka Vale alivyokuwa Batani anawafundisha watoto wa kibongo kwamba kupigapiga picha na hela ni kuacha ushahidi zaidi wazi kwamba wana drug money.
 
circles fulani kiwanja mwanamme anayependa kulingishia magari anaonekana ana compensante kwamba hajajaaliwa na mungu kunako uanaume.

Na kuna mtu hapa (nafikiri ni amu) kasema kitu kama hicho bila ya kuwa kwenye circles hizo.

Now i ain't about talking about another man's manhood, but the theory is flaunted out there in multiple dimensions.

In any case, an overconsumption of fancy possession is an attempt at compensanting for some other deficiencies in someone's life.

Especially if that overconsumption is done not only for personal enjoyment (as in having so many fancy cars and just enjoying driving fancy cars) but also flashing the objects conspicuously (as in flashing photos of all your fancy cars on instagram).

dude u r low! Be understood.

Hakuna grammy hapa.
 
Last edited by a moderator:
Sasa ukipiga picha na $5000 -10000 in shillings unazuzua watu.

2012 nilienda NBC Mlimani City.

Nikaenda moja kwa moja reception desk.

Alikuwepo mdada hapo ndo receptionist.

Nikamwuliza kama kuna uwezekano wa ku withdraw pesa katika US dollars.

Akaniuliza kwani nataka kutoa dola kiasi gani nikamwambia 20K.

Mdada macho yalimtoka utadhani kapigwa kabali.

Ikabidi anipeleke kwa meneja wa tawi.

Muamala mzima ulishughulikiwa na huyo meneja.

Sasa ile natoka ofisini kwa meneja yeye na wenzake wakabaki wameduwaa tu.

Nilicheka sana.

Sasa piga picha 20K kwa madafu ni kiasi gani....

Kupiga picha na minoti mingi kwangu ni ushamba na huthibitishi chochote.

Mbaya zaidi ni kushikisha vi toddler hizo hela na kupiga picha na kuziweka kwenye social media.

Angekuwa Lil Boosie ningeelewa. Lakini mtu ambaye supposedly ni 'msomi'?

Wow!

But to each his own.
 
ymcmb-e1329072585653.jpg

Life so priceless, nigga you understand me?
Its just like that.
My car so priceless, my bitch so priceless, my
familia is so priceless nigga.
You understand me?
Either you with us or you ain't with us.
Either you in the huddle or you out the huddle.
Either you ridin or we pass flyin by sayin https://jamii.app/JFUserGuide you.
It's Young Money, Cash Money playboy, it's about the size of it, at the rooftop, so hot up here nigga.

#GetAgry #getInspired #TeamMmenya #AtownWassup #Itcanbe_Me

Brrrrrrrrrrrrrrrrrr
Brrrrrrrrrrrrrrrrr

Meeeeeen i like him so much!
 
dude u r low! Be understood.

Hakuna grammy hapa.

Hahaha,

Plaque awards and bling mbona kashachukua zote wakili maarufu wenu ambaye hata hajui netiquette kwamba kuandika in all caps is tacky?
 
2012 nilienda NBC Mlimani City.

Nikaenda moja kwa moja reception desk.

Alikuwepo mdada hapo ndo receptionist.

Nikamwuliza kama kuna uwezekano wa ku withdraw pesa katika US dollars.

Akaniuliza kwani nataka kutoa dola kiasi gani nikamwambia 20K.

Mdada macho yalimtoka utadhani kapigwa kabali.

Ikabidi anipeleke kwa meneja wa tawi.

Muamala mzima ulishughulikiwa na huyo meneja.

Sasa ile natoka ofisini kwa meneja yeye na wenzake wakabaki wameduwaa tu.

Nilicheka sana.

Sasa piga picha 20K kwa madafu ni kiasi gani....

Kupiga picha na minoti mingi kwangu ni ushamba na huthibitishi chochote.

Mbaya zaidi ni kushikisha vi toddler hizo hela na kupiga picha na kuziweka kwenye social media.

Angekuwa Lil Boosie ningeelewa. Lakini mtu ambaye supposedly ni 'msomi'?

Wow!

But to each his own.

Kibongobongo ndo mtama kwa watoto, akifanya hivyo ndo kina dada wenye njaa wanajilengesha wenyewe.

Wakili mzima anakosa ujanja wa kuongea na wanawake mpaka anategemea picha za hela Instagram?

Nilishangaa nilipoambiwa bongo hata ukienda kutuza kwenye muziki sio tu unatuza wapiga muziki, bali unaonyesha wanawake kwamba unazo na uanaweza kuwahudumia.

Such is the low state my country is in right now.
 
I like flashy life

But not using it by moking some one who is below my class

Mungu muumbaji hapendi

BTW hivi kila mtu mwenye hela huko insta akisema aanzishe balaa huyu wakili wetu mjanja ataweza kuhimili mtiti.

Ni upuuzi but for mediocre its classic.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom