Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He just proved himself to be an educated fool.
Mkuu una akili. Unajua humu ndani wamejaa watu ambao ni mburulaz ambao ni judgmental vibaya mno. :becky:I don't see no reason of sweating over someone who's flossin his own sweat, seriously.
Duh watu tumepishana huku, sasa na sisi wa kutembelea toyo si ndo tujinyonge kabisa, au watuanzishie JF yetu, maana...Range za 2014 si ndiyo hizi za Wahindi wa TATA? Injini ya Ford Explorer?
Nani anataka takataka za TATA?
Watu tumetumia Range wakati bado Range, Vogue, mid nineties. Hizi Range za TATA kama nilivyosema hapo mwanzo hata kumtumia honey zawadi ya Christmas ni kashfa.
Hiki kiwango cha ushamba huwa kinanistaajabisha sana. Hivi ndivyo "utajiri" unavyopimwa na "kuonyeshwa" Tanzania? Tofauti, huwezi kuona vijana kama akina Zuckerberg wakitangaza ushamba kiasi hicho. Hapo ndipo tulipozidiwa. Hata kipimo halisi cha utajiri hatukijui zaidi ya kujinasibu kishamba tu. This poverty mentality has to change!
I don't see no reason of sweating over someone who's flossin his own sweat, seriously.
Hahaha SMDH! Ok.Na wewe andika kiswahili kama huwezi kuandika Kimombo, na kama ukiandika umombo basi uandike kwa usahihi........
Walewale kama Huyo Msando mwenzako
teh teh Mods washafanya yao...Box limekufanya wewe kuweza kutambua JF ni Kitu gani.
Unaleta kashfa huna kitu. Siku ukipata wewe si utatunyea kichwani!
Majitu dizaini yako mara zote mnakufa maskini wa fedha na mawazo pia.
Sijui laana hizi mmerithi?
Hivi kwani unaweza kuwa Lawyer bila kusoma?Lawyer msomi
Haha kajinyonge tu na kamasi maana hamna namna tena ,watu wana kashfaDuh watu tumepishana huku, sasa na sisi wa kutembelea toyo si ndo tujinyonge kabisa, au watuanzishie JF yetu, maana...
teh teh Mods washafanya yao...