PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Aug 15, 2016 #1 Anaitwa JUMA MCHINA SHAROBARO , Msanii wa BONGO FLAVA. Sasa hivi mkali huyo kutoka Gang Zhou amekamata soko la ndani hao wakina Daimond na Ali Kiba watasubiri sana. Mcheki hapa alivyojaza watu kwenye show yake ya hivi juzi. https://www.facebook.com/video.php?v=1345874052092614
Anaitwa JUMA MCHINA SHAROBARO , Msanii wa BONGO FLAVA. Sasa hivi mkali huyo kutoka Gang Zhou amekamata soko la ndani hao wakina Daimond na Ali Kiba watasubiri sana. Mcheki hapa alivyojaza watu kwenye show yake ya hivi juzi. https://www.facebook.com/video.php?v=1345874052092614
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Aug 15, 2016 #2 Ameingia mjini akitokea Chato au kijiji gani?
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,760 Reaction score 20,837 Aug 15, 2016 #3 Poa tumekupata bwana Juma Mchina maana unajifanyia self promotion.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Aug 15, 2016 #4 Tanzania kuna celebrity? Kama wapo wapo wangapi? Ni wakina nani?
bayfe JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 548 Reaction score 255 Aug 16, 2016 #5 Tofauti ya umaarufu na umashuhuri
Vitaimana JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 3,535 Reaction score 1,562 Aug 16, 2016 #6 Si bora hata gigy money huyu kaingia na kiki gani?
pendoharri JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 508 Reaction score 306 Aug 16, 2016 #7 Atakuwa wa chato
V vampire_hunter007 JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 1,034 Reaction score 2,624 Aug 16, 2016 #8 bayfe said: Tofauti ya umaarufu na umashuhuri Click to expand... Bavaria said: Tanzania kuna celebrity? Kama wapo wapo wangapi? Ni wakina nani? Click to expand... Hii ni definition ya neno Celebrity kutoka Cambridge dictionary..... Nadhani mkiifahamu mnaweza kupata majibu ya maswali yenu
bayfe said: Tofauti ya umaarufu na umashuhuri Click to expand... Bavaria said: Tanzania kuna celebrity? Kama wapo wapo wangapi? Ni wakina nani? Click to expand... Hii ni definition ya neno Celebrity kutoka Cambridge dictionary..... Nadhani mkiifahamu mnaweza kupata majibu ya maswali yenu
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Aug 16, 2016 #9 promo at work
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,894 Aug 16, 2016 #10 Daudi Mchambuzi said: Ameingia mjini akitokea Chato au kijiji gani? Click to expand... hahahaha. swissme
Daudi Mchambuzi said: Ameingia mjini akitokea Chato au kijiji gani? Click to expand... hahahaha. swissme