Celebrity mpya aingia mjini

Celebrity mpya aingia mjini

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
12,181
Reaction score
20,148
Anaitwa JUMA MCHINA SHAROBARO , Msanii wa BONGO FLAVA. Sasa hivi mkali huyo kutoka Gang Zhou amekamata soko la ndani hao wakina Daimond na Ali Kiba watasubiri sana. Mcheki hapa alivyojaza watu kwenye show yake ya hivi juzi.

 
Si bora hata gigy money huyu kaingia na kiki gani?
 
Tofauti ya umaarufu na umashuhuri

Tanzania kuna celebrity? Kama wapo wapo wangapi? Ni wakina nani?

Celebrity.JPG

Celebrity2.JPG


Hii ni definition ya neno Celebrity kutoka Cambridge dictionary..... Nadhani mkiifahamu mnaweza kupata majibu ya maswali yenu
 
Back
Top Bottom