Celebrity wa kibongo wana nini? Wema sepetu nimemtumia iphone7 kasema haipendi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Nmemtumia huyu dada Iphone 7 kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu ameenda kunianika instagram kwamba haipendi na atampatia shabiki,nakua kama bwege
Hawa maceleb wa kibongo sijui huwa wana nini,hata mm nawajua mashabiki kwanini sikuwapa wao nikaamua kumpa yeye?
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    48.4 KB · Views: 177
Inasemekana binti huyo aliyetimiza miaka 27 alihitaji zawadi ya pesa taslimu za madafu ili kugomboa mkoko wake. Kwa mujibu wa ripota wetu ambaye alitumia ndege ya dron kunasa conversation toka angle ya paa ya double tree hotel kati ya Wema na Baharia Le Mutuz ni kwamba Baharia huyo from downtown alitoa pesa taslimu £3000 kwa kila picha moja ya busu (you know anapenda selfie-kissing)
 
Nmemtumia huyu dada Iphone 7 kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu ameenda kunianika instagram kwamba haipendi na atampatia shabiki,nakua kama bwege
Hawa maceleb wa kibongo sijui huwa wana nini,hata mm nawajua mashabiki kwanini sikuwapa wao nikaamua kumpa yeye?
Ona vurugu uliyo sababisha foleni hiyo sasa wanataka simu wape majibu
 
Inasemekana binti huyo aliyetimiza miaka 27 alihitaji zawadi ya pesa taslimu za madafu ili kugomboa mkoko wake. Kwa mujibu wa ripota wetu ambaye alitumia ndege ya dron kunasa conversation toka angle ya paa ya double tree hotel kati ya Wema na Baharia Le Mutuz ni kwamba Baharia huyo from downtown alitoa pesa taslimu £3000 kwa kila picha moja ya busu (you know anapenda selfie-kissing)
Last year alisherehekea kutimiza 27 years, this year ametimiza 28. Hiyo ni kutokana na historia yake tangu kushinda miss Tz 2006 akiwa na 18yrs. Ila uhakika zaidi upo kwa Mzazi wake
 
Nmemtumia huyu dada Iphone 7 kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu ameenda kunianika instagram kwamba haipendi na atampatia shabiki,nakua kama bwege
Hawa maceleb wa kibongo sijui huwa wana nini,hata mm nawajua mashabiki kwanini sikuwapa wao nikaamua kumpa yeye?
Bora amesema ukweli kuwa haipendi!!
 
Hajui kuitumia sio kwamba haipendi awe tu muwazi
 
Watu wengi hawajui iadi ya miaka yao halisia. Utakuta msanii mwaka juzi alikuwa na miaka 29, mwaka jana akasema ana miaka 29 then mwaka huu anasema ana miaka 29??????.......Hivi hawajui miaka inapozidi kwenda ndio na umri wao wa kuishi duniani unasogea mbele?......TZ kuna vituko sana!!
 
Back
Top Bottom