MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ona vurugu uliyo sababisha foleni hiyo sasa wanataka simu wape majibuNmemtumia huyu dada Iphone 7 kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu ameenda kunianika instagram kwamba haipendi na atampatia shabiki,nakua kama bwege
Hawa maceleb wa kibongo sijui huwa wana nini,hata mm nawajua mashabiki kwanini sikuwapa wao nikaamua kumpa yeye?
Last year alisherehekea kutimiza 27 years, this year ametimiza 28. Hiyo ni kutokana na historia yake tangu kushinda miss Tz 2006 akiwa na 18yrs. Ila uhakika zaidi upo kwa Mzazi wakeInasemekana binti huyo aliyetimiza miaka 27 alihitaji zawadi ya pesa taslimu za madafu ili kugomboa mkoko wake. Kwa mujibu wa ripota wetu ambaye alitumia ndege ya dron kunasa conversation toka angle ya paa ya double tree hotel kati ya Wema na Baharia Le Mutuz ni kwamba Baharia huyo from downtown alitoa pesa taslimu £3000 kwa kila picha moja ya busu (you know anapenda selfie-kissing)
Bora amesema ukweli kuwa haipendi!!Nmemtumia huyu dada Iphone 7 kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu ameenda kunianika instagram kwamba haipendi na atampatia shabiki,nakua kama bwege
Hawa maceleb wa kibongo sijui huwa wana nini,hata mm nawajua mashabiki kwanini sikuwapa wao nikaamua kumpa yeye?
Nawe Uko tayari kumpa?hahaahaa!!bora ungenipa mie tu!
ukikubali kula sharti uliwe kidogo!Nawe Uko tayari kumpa?
cc mzee wa msogaukikubali kula sharti uliwe kidogo!
do me I do u!!!!Hayo ndo maneno