Watu wengi hawajui iadi ya miaka yao halisia. Utakuta msanii mwaka juzi alikuwa na miaka 29, mwaka jana akasema ana miaka 29 then mwaka huu anasema ana miaka 29??????.......Hivi hawajui miaka inapozidi kwenda ndio na umri wao wa kuishi duniani unasogea mbele?......TZ kuna vituko sana!!
Nmemtumia huyu dada Iphone 7 kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu ameenda kunianika instagram kwamba haipendi na atampatia shabiki,nakua kama bwege
Hawa maceleb wa kibongo sijui huwa wana nini,hata mm nawajua mashabiki kwanini sikuwapa wao nikaamua kumpa yeye?
Safi sana!, wa mikoani ndio wanaozeeka tu na kupata miaka mingiUkiishi Dar es salaam kuzeeka ni decision yako mwenyewe. Ukitaka kila mwaka unaweza kuwa na miaka 22 na birth certicate yako itaonyesha hivyo.
Sijui tatizo nini?,upeo?,kukosa washauri?.,baada ya miaka Kama 2 ijayo atapoteza mvuto,na hata wa kumhonga elfu kumi akakosa na vijana washanchezea vya kutosha.Kibibi cha 1987 hichoo antaka tujue ana I phone 7 Wenzake wanahangaika kufungua Brands ye ana post Simu daah
mie nilimtilia shaka.Nilijua tu dogo mchele!...