PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Watu wengi hawajui iadi ya miaka yao halisia. Utakuta msanii mwaka juzi alikuwa na miaka 29, mwaka jana akasema ana miaka 29 then mwaka huu anasema ana miaka 29??????.......Hivi hawajui miaka inapozidi kwenda ndio na umri wao wa kuishi duniani unasogea mbele?......TZ kuna vituko sana!!
Ukiishi Dar es salaam kuzeeka ni decision yako mwenyewe. Ukitaka kila mwaka unaweza kuwa na miaka 22 na birth certicate yako itaonyesha hivyo.