Wimbo wa 'My Heart Will Go On' ni kati ya nyimbo zilizompa umaarufu mkubwa na kumuongezea utajiri Celine Dion, kupitia wimbo huo aliouimba akiwa na umri wa Miaka 29 wakati huo ulikuwa ‘soundtrack’ ya Filamu ya Titanic ambayo ilitoka Mwaka 1997.
Msanii huyo aliwahi kuhojiwa na kusema “Sikuona kama inanifaa, nilichoka sana siku hiyo, pia nilifikiria nimeshafanya ‘soundtrack’ nyingi, sikutaka kuonekana kazi yangu ni hiyo tu, mume wangu (René Angélil) akanishawishi niimbe demo (wimbo wa awali kabla ya wimbo wenyewe).”
Kilichofuata akaimba demo tu na kuondoka, hatukurudi tena Studio kuimba wimbo wenyewe, ikabidi utumike huohuo kwenye Filamu, kilichofuata wimbo huo ndio ulibadilisha maisha yake kwa kiwango cha juu.
Dion also revealed that she was initially hesitant to sing "My Heart Go On," which would become one of the biggest songs of all time. The
Titanic soundtrack staple went on to win the Academy Award for Best Original Song, along with Record of the Year and Song of the Year at the Grammys.
"I'm glad I sang the song. I think I said it before, but I don't do television so much... I didn't want to record the song," she told a shocked Fallon.
"I'm so happy that my people don't listen to everything I say," she continued, joking, "I just hit my chest and I go on."
In November 2019, while on
Watch What Happens Live!, Dion provided a few more details about why she was originally hesitant to record what's become a classic.
“It didn’t appeal to me. I was probably very tired that day — very tired," she told Andy Cohen. "My husband [René Angélil] said, 'Let’s hold on.' He talked to the writer and he said, ‘Let’s try to make it, like, a little demo.'"