CELINE DION ANATISHA SANA: HUU WIMBO WA ASHES SIYO WA DUNIAS HII

CELINE DION ANATISHA SANA: HUU WIMBO WA ASHES SIYO WA DUNIAS HII

Kila nikiliona neno la Celin Dion nakumbuka enzi za 1998 nikiwa Kantalamba school,ndio collabo ya Rkelly Im your Angel ndio inahit yaani ilikuwa balaaaaaaaa.

Kama unamjua James Wasulwa basi Unanijua namie!Kantalamba Moja Wazee Wa Swax


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama unamjua James Wasulwa basi Unanijua namie!Kantalamba Moja Wazee Wa Swax


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahaahaaa basi basi usimwage mtama kwenye kuku wengi.😀😀😀😀😀😀😀
 
Angeendelea tu kustaafu... Huu wimbo sio wa kiwango cha Celine Dione yule tunayemfahamu... Labda kama anaimba kujifurahisha tu...
 
Ndio sana sana..
Kila genre ya nyimbo kasoro za kilokole napenda sana. Bila kusahau muvizz.
Naona umeamua kutumia avatar ile ile
Hahahaa sasa nilijaribu kuficha ila wahuni hamkunikosa nafanyeje sasa..
 
Back
Top Bottom