Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Je? Ushawahi kukaa na kujiuliza kwamba suffering ina faida gani kwa kiumbe.Ayubu wa kwenye biblia alikosea nn hadi aka-suffer?
Umequote mtu asielewa anachotaka kuelezea
Je unadhani kuna kusudi lolote katika kuteseka au watu kupata maumivu ya hapa na pale.
Hadithi ya Ayubu ilitolewa ili kusudi watu waache kuwatenga waathirika wa majanga kana kwamba ni wadhambi sana. Ili kubalance. Ndiyo maana kwenye mada iliyofuata pametenganishwa makosa na dhambi.
Wanadamu tunapaswa kufundishana ili kuyaondoa makosa yanayopelekea mateso. Anayekosea aelekezwe. Cha kukemewa na kutengwa ni dhambi pekee. Falsafa inakuzwa kwa maswali kama haya, asante.