Cement gani nzuri kwa kufyatulia matofali?

Hawafahamu wanachojua eti ukitumia 32.5N hata kwenye nguzo ni sawa kikubwa upunguze ratio ya mchanga, wakati kwenye nguzo inatakiwa iwe 42.5N yaani wanatuharibia ujenzi basi tu
32.5 inafaa kwa bimu, nguzo za nyumba za kawaida!
 
Hawafahamu wanachojua eti ukitumia 32.5N hata kwenye nguzo ni sawa kikubwa upunguze ratio ya mchanga, wakati kwenye nguzo inatakiwa iwe 42.5N yaani wanatuharibia ujenzi basi tu
Sio lazima boss.. Hio 32.5 inamaanisha maximum strength ambayo hio cement inaweza kuachieve after 28 days of curing ni 32.4N/mm2 the same kwa 42.5 so hio 32.5 unatumia vizuri kabisa
 
Bei zake zinakuwaje?
 
Si ndio nashangaa jamaa hapo juu atuingiza chaka N na R hii inahusiana na setting time (Cement kukauka haraka Raipd au Normal Time) Namba inaonyesha strength baada ya siku 28. Eg 32.5 itakuwa na strength ya 32.5 Mpa etc
 
Twiga ya 42.5 ina N au R sikumbuki ila inawahi kufanya hardening
 
Pamoja na maelezo ya mtoa maelezo hapo juu..

Hakikisha unatumia cement ambayo haijakaa store zaidi ya mwezi mmoja tokea siku yake ya kutoka kiwandani.

Inshort expire date yake isizidi mwezi mmoja.
Cemeng haina expire date ndugu, hapa uko wrong

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hawa mafundi wetu huku mtaani wanafahamu chochote kuhusu huo utofauti wa cement na matumizi yake?
Mkuu fundi aliye pitia mafunzo katika vyuo vya ufundi hasa VETA anajua utofauti huo maana hiyo Ni topic kabisaa. Types of Cement.Wasio jua ni hao wanaojifunza kitaa kupandisha tofali na kuweka mortar kwenye kuunganisha tofali.
 
Salute mkuu
 
Tuambizane sasa kampuni ipi ndio ina 32 na ipi ina 42 Dangote au Twiga au SIMBA
 
Kampuni zote zinazalisha 32.5 na 42.5
42.5 ipo mara mbili N na R
Kama sikosei ni Dangote pekee anayezakisha 42.5 R, naye anataka ku i phase out kwa sababu ni cement inayokula malighafi nyingi , na hivyo kupelekea kuwa cement ghali kuteitengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…