Cement gani nzuri kwa kufyatulia matofali?

Nashukuru kwa mjadala mzuri,

Nisaidieni chimbo la kupata cement kwa bei angalau 14,500/=
Nahitaji mifuko 100
Simu 0764055904
 
Namalizia kufanya finishing nyumba yangu Cement leo hakuna hapa Lindi. Jana nilinunua sehemu ilikuwa 2 nikanunua mfuko 1 elf 16. Nilianza ujenzi Mwaka uliopita mwez wa 12. Cement ilikuwa inauzwa elf 12 sasa hv imepanda

Ni shida sana.
Tunasoma namba
 
Nashukuru kwa mjadala mzuri,

Nisaidieni chimbo la kupata cement kwa bei angalau 14,500/=
Nahitaji mifuko 100
Simu 0764055904

Kama Upo dar nenda tegeta kwa ndevu/kibo unapata kwa 14,000 tu tena kwa mifuko miA unaweza kupata kwa bei pungufu kidogo au wakakusaidia kwenye usafiri
 
Hizo siyo aina za cement!
Hizo ni grades za cement, na hiyo N inamaanisha Normal strength, R ikiwa na maana ya rapid strength!
Aina za cement zipo nyingi tu, mfano ni kama hizi:-
Ordinary Portland Cement (OPC),Portland Pozzolana Cement (PPC), Rapid Hardening Cement, Extra Rapid Hardening Cement, Low Heat Cement, Sulfates Resisting Cement, Quick Setting Cement, Blast Furnace Slag Cement...n.k!

Kwa Tz aina kuu ya cement inayozalishwa na kutumika zaidi ni OPC na hata PPC, ambazo huwa zinazalishwa grades
32.5N/ 32.5R,(Cement daraja la chini)
42.5N /42.5R.(cement daraja la juu)
Lakini pia ipo 52.5N/52.5R (ambayoni cement daraja la juu zaidi, kwa tz hii bado haipo).
Cement ambayo ni grade 32.5N/32.5R hii inafaa zaidi kwa matumizi ya plaster na kazi ndogo ndogo ambazo hazihitaji kuhimili uzito mkubwa!
Cement ambayo ni grade 42.5N/42.5 au daraja la juu zaidi inafaa zaidi kwa kazi za zege kama nguzo, bimu, slabu, madaraja n.k kutokana na uimara wake kuwa mkubwa zaidi.

Maana ya herufi N, kama nilivyoeleza ni normal strengh, hii ina maana ili kufikia ubora wake baada ya matumizi huchukua muda kidogo tofauti na cement ambayo ni R-rapid strenght ambayo hii huwahi zaidi kufikia ubora wake baada ya matumizi! Kawaida ubora wake hufikiwa kuanzia siku 2-7.
Hivyo naamini kwa maelezo haya mafupi unaweza kuamua utumie cement yenye grades zipi kwa matumizi gani!
Asante kwa maelezo , kwa nini madaraja wanatumia sana 42N na sio 42R?
 
N na R siyo Normal na Rapid strength. Kwanza Rapid strength Ndiyo kitu gani?
 
Nashukuru kwa mjadala mzuri,

Nisaidieni chimbo la kupata cement kwa bei angalau 14,500/=
Nahitaji mifuko 100
Simu 0764055904

Juzi nilipita wazo hill, kuna tangazo limeandikwa 13,800 ...kama upo Dar fanya kufika pale.
 
N na R siyo Normal na Rapid strength. Kwanza Rapid strength Ndiyo kitu gani?

Wewe unasema N na R siyo normal na rapid strength, ina maana wewe unajua maana nyingine zaidi! Sasa iweje uulize swali ambalo tayari una majibu yake, wewe sema hiyo N na R maana yake ni nini, ndio ukosoe kama kilichomaanishwa ni sahihi ama siyo sahihi!
 
Rapid strength ni initial curing time,yaani ukipika zege la R linakomaa fastafasta zege la N linakomaa lakini si KWA speed sawa na R japo mwisho wa siku baada ya Muda zege zote mbili zinakuja kuwa na strength sawa ,Sema R inakomaa fasta fasta baada ya kupikwa
 
Wewe unasema N na R siyo normal na rapid strength, ina maana wewe unajua maana nyingine zaidi! Sasa iweje uulize swali ambalo tayari una majibu yake, wewe sema hiyo N na R maana yake ni nini, ndio ukosoe kama kilichomaanishwa ni sahihi ama siyo sahihi!
Normal setting Vs Rapid setting
 
Zamani hapakuwa na cement wazee wetu walitumia chokaa na udongo mfinyanzi. Kwa ufupi cement zote ziko Safi tafauti ukaukaji wake ila uimara ni kufuata masharti ya ujenzi na upate fundi mweledi asiwe Michael utajuta.
 
Zamani hapakuwa na cement wazee wetu walitumia chokaa na udongo mfinyanzi. Kwa ufupi cement zote ziko Safi tofauti ukaukaji wake ila uimara ni kufuata masharti ya ujenzi na upate fundi mweledi asiwe Michael utajuta.
 
Hizo siyo aina za cement!
Hizo ni grades za cement, na hiyo N inamaanisha Normal strength, R ikiwa na maana ya rapid strength!
Aina za cement zipo nyingi tu, mfano ni kama hizi:-
Ordinary Portland Cement (OPC),Portland Pozzolana Cement (PPC), Rapid Hardening Cement, Extra Rapid Hardening Cement, Low Heat Cement, Sulfates Resisting Cement, Quick Setting Cement, Blast Furnace Slag Cement...n.k!

Kwa Tz aina kuu ya cement inayozalishwa na kutumika zaidi ni OPC na hata PPC, ambazo huwa zinazalishwa grades
32.5N/ 32.5R,(Cement daraja la chini)
42.5N /42.5R.(cement daraja la juu)
Lakini pia ipo 52.5N/52.5R (ambayoni cement daraja la juu zaidi, kwa tz hii bado haipo).
Cement ambayo ni grade 32.5N/32.5R hii inafaa zaidi kwa matumizi ya plaster na kazi ndogo ndogo ambazo hazihitaji kuhimili uzito mkubwa!
Cement ambayo ni grade 42.5N/42.5 au daraja la juu zaidi inafaa zaidi kwa kazi za zege kama nguzo, bimu, slabu, madaraja n.k kutokana na uimara wake kuwa mkubwa zaidi.

Maana ya herufi N, kama nilivyoeleza ni normal strengh, hii ina maana ili kufikia ubora wake baada ya matumizi huchukua muda kidogo tofauti na cement ambayo ni R-rapid strenght ambayo hii huwahi zaidi kufikia ubora wake baada ya matumizi! Kawaida ubora wake hufikiwa kuanzia siku 2-7.
Hivyo naamini kwa maelezo haya mafupi unaweza kuamua utumie cement yenye grades zipi kwa matumizi gani!
Pamoja na maelezo ya mtoa maelezo hapo juu..

Hakikisha unatumia cement ambayo haijakaa store zaidi ya mwezi mmoja tokea siku yake ya kutoka kiwandani.

Inshort expire date yake isizidi mwezi mmoja.
 
Acha na mapicha picha Twiga cement 42...sio dangote wala nani....
 
Back
Top Bottom