Cement gani nzuri kwa kufyatulia matofali?

Cement gani nzuri kwa kufyatulia matofali?

42.5 ipo mara mbili N na R
Kama sikosei ni Dangote pekee anayezakisha 42.5 R, naye anataka ku i phase out kwa sababu ni cement inayokula malighafi nyingi , na hivyo kupelekea kuwa cement ghali kuteitengeneza
Hiyo 42.5R ina contain clinker % ngapi?
 
Nashukuru kwa mjadala mzuri,

Nisaidieni chimbo la kupata cement kwa bei angalau 14,500/=
Nahitaji mifuko 100
Simu 0764055904
Kama bado unaitaji 0786430793 utapata hata mifuko elfu moja
 
Hakuna kitu kama Rapid strength au normal strength, badala yake kuna rapid curing au hardening na normal curing au hardening. Au nasema uongo ndugu zanguuuu
Kakosea tu, ila alichokusudia ni hicho unachoeleza, maneno yake ya kiufafanuzi yanajieleza
 
Back
Top Bottom