Cement ipi ni nzuri kwa ujenzi wa nyumba?

Cement ipi ni nzuri kwa ujenzi wa nyumba?

Ha ha mkuu pozorana sio cement. Ni additive kwenye kutengeneza cement. That why cement yake ibaitwa pozorana portland cement. Ziko nyingi. Kuna cement inaitwa limestone portland cement. Kwaufupi neno moja kabla ya Portland cement huonyesha additive walioweka kutengeneza cement
 
Mim naona cement zote ziko poa tu kuanzia Nyati, Twiga, Simba, Kifaru, Camel, Dangote, Lucky, Kilimanjaro nk nk. Kikubwa ni kuzingatia vipimo vya mchanga na kokoto kwenye ujenzi wako.
 
dangote yupo kwenye game ya cement africa miaka mingiiiii.. anajua africa ulivyo kwa kutoa cement quality..

hizi kampuni zingine za wahindi na waasia ni janja janja... hazitupendi waafrica zinapiga hela tu
 
Vipi kuhusu ile ya nyati isiyobomolewa na mabomu,baruti wala maporomoko ya mawe?
 
Back
Top Bottom