Cement ipi ni nzuri kwa ujenzi wa nyumba?

Cement ipi ni nzuri kwa ujenzi wa nyumba?

Cement nzuri kwa ujenzi wa nyumba.


HEIDELBERG CEMENT

LA FARGE CEMENT

DANGOTE CEMENT

ASH GROVE

QATAR NATIONAL CEMENT
 
Mim naona cement zote ziko poa tu kuanzia Nyati, Twiga, Simba, Kifaru, Camel, Dangote, Lucky, Kilimanjaro nk nk. Kikubwa ni kuzingatia vipimo vya mchanga na kokoto kwenye ujenzi wako.
Umesema vzr kabisa!! Vipimo na uchanganyaji ndio mhimu bila kusahau kumwagilia maji ya kutosha iwe kwa tofali au plaster
 
Ha ha mkuu pozorana sio cement. Ni additive kwenye kutengeneza cement. That why cement yake ibaitwa pozorana portland cement. Ziko nyingi. Kuna cement inaitwa limestone portland cement. Kwaufupi neno moja kabla ya Portland cement huonyesha additive walioweka kutengeneza cement

Hapa takuwa alimaanisha cement yoyote yenye pozorana.
 
Nyati 42% ina ratio kubwa kuchanganyia na mchanga ama kokoto.
Ni nzuri sana. Angalia tangazo lake la promosheni lisilokinaisha!
Forman yule, nadhani Muhaya "Nshomile" kafika na jaziba yake, ama alikuwa na lake jambo rohoni kukomoa wamikiki wa nyumba ike wabishi kuhama na kupisha ujenzi, nadhani wa barabara!
Kafika kutoa amri ya 'bomoa kabisa',ikashindikana, 'ita bulldozer', bulldozer ikaanza kuchuchumia matairi na kushindwa! Teh teh teh.
Mwisho wa yote "kutamiza" chini kofia yake ya kiashi na kuondoka zake akiashiria kushindwa!
Tangazo zuri! Nyati tunaisifia kwa ubora na uimara wake.
 
Back
Top Bottom