Cement za Rhino na Lucky


Nakuona fundi mchundo uko kazini.
 
Huu uzi umenisaidia sana sababu name nilikua natafuta kujua about cement ipi bora.

JF mnatakiwa muanzishe Jukwaa la Ujenzi.

Wengi tunataka info za ujenzi na interiors.
 
Wadau na me napenda kujua nyumba ya ghorofa moja ya vyumba vitano master bedrooms inachukua mifuko mingapi ya cement.

Natanguliza shukrani.
 

Thibiitisha kama uko Dubai,dhibitisha hiyo tsh.3500 kwa mfuko!
 

Mkuu hiyo maneno ya tofali za cement kutoa radiation mbona ni habari mpya? Hebu tusaidie vizuri hapo hasa ambao ndo tumemaliza msingi tunapiga mawazo ya kupandisha za kuchoma au za cement
 
Thibiitisha kama uko Dubai,dhibitisha hiyo tsh.3500 kwa mfuko!
Anachosema ni kweli kabisa building materials kwa Dubai ni very cheap na all merchandise kwa ujumla bei inapanda kutokana na boarding revenues profiting na tending charges pale bandarini.
 
Naam hapa wengi hatulitambui hili na ndio maaana tunatakiwa vitu vyote tufanyavyo tuwape watu wenye utaalamu wa hali ya juu
 
Soma hapa: Radiation exposure, building material

Mengine wewe niamini tu maana nimesoma kuhusu ujenzi na Chemicals in Bulding Materials.

Ila si kubwa sana kivile. Lakini kama unaweza kuiepuka, basi ikimbie au ipunguze.

Mkuu hiyo maneno ya tofali za cement kutoa radiation mbona ni habari mpya? Hebu tusaidie vizuri hapo hasa ambao ndo tumemaliza msingi tunapiga mawazo ya kupandisha za kuchoma au za cement
 
Mkuu, swali lako ni kama kuuliza (kwa mfano Mayweather na The Big Show wana umri sawa) kuwa hawa Mibaba wenye umri sawa na wote wanacheza michezo ya kutumia nguvu, watakula kilo ngapi? Sidhani mlo wa The BigShow, Mayweather atamaliza hata nusu yake. Swali lako halijibiki bila data kamili.

Ila kama unataka kujenga ghorofa na unauliza idadi (gharama) basi achana nalo maana litakushinda.


Wadau na me napenda kujua nyumba ya ghorofa moja ya vyumba vitano master bedrooms inachukua mifuko mingapi ya cement.

Natanguliza shukrani.
 

Luka 14 : 28 - 30

14.28 Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia?
14.29 Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki,
14.30 wakisema, Mtu huyu alianza kujenga, akawa hana nguvu za kumaliza.

Unanitisha kwa kagorofa kamoja hivyo ningekuambia malengo yangu baada ya miaka 10 si ungesema mi ni mwehu.

Usilolijua litakusumbua.
 
Ukimaliza kujenga, kwenye finishing kama kupaka rangi, mabomba, sakafu, ngazi, umeme nk ndiyo utakuja kukumbuka maneno yangu. Ningelikujibu ovyo ila nakuacha kwa leo na kuombea malengo yako ya miaka 10 ijayo yatimie maana mie sina roho korosho kama unavyoonekana wewe. Sasa hivi huna kitu, unasubiri miaka ijayo na unasema niachane na wewe, ukipata hizo fedha zako miaka 10 ijayo, sijui itakuwaje?

Diana Ross aliimba, more money, more problem.
 

Sidhani kama aliuliza kwa ubaya nadhani huwezi kujenga bila kujua gharama ya utakacho kijenga... Thats why hata msanifu majengo akikuchorea ramani unayoitaka atakupa estimated cost ya jengo husika.. Then utaangalia kama utaafford au la abadilishe ramani. Labda ungemwambia amtafute Archtecture amuulize hilo swali.
 

Chukua LIKE squared (i.e LIKE ^2), najua umenisoma Engineer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…