Cementi ya jumla ya kuuza - msaada

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
272
Natafuta wapi naweza kununua cement ya kuuza kwa bei ya jumla kwa kuanzia nataka nianze na mifuko kama 100.
Niko maeneo ya upande wa pugu dsm.

Naombeni msaada wa wapi nitapata, kwa bei gani na kama nitaletewa mpaka kwenye duka langu

Asanteni
 
nenda kiwandani wazo hill wanaanzia mifuko 50 kuendelea nadhani usafiri juu yao ila sina hakika
 
pozzolana wanaanzia mifuko 1000 unakuwa wakala unaletewa toka mbeya hadi Tazara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…