MJIMPYA JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 506 Reaction score 272 Dec 18, 2012 #1 Natafuta wapi naweza kununua cement ya kuuza kwa bei ya jumla kwa kuanzia nataka nianze na mifuko kama 100. Niko maeneo ya upande wa pugu dsm. Naombeni msaada wa wapi nitapata, kwa bei gani na kama nitaletewa mpaka kwenye duka langu Asanteni
Natafuta wapi naweza kununua cement ya kuuza kwa bei ya jumla kwa kuanzia nataka nianze na mifuko kama 100. Niko maeneo ya upande wa pugu dsm. Naombeni msaada wa wapi nitapata, kwa bei gani na kama nitaletewa mpaka kwenye duka langu Asanteni
M Mama Joe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,504 Reaction score 840 Dec 19, 2012 #2 nenda kiwandani wazo hill wanaanzia mifuko 50 kuendelea nadhani usafiri juu yao ila sina hakika
P PENA UNITED Member Joined Dec 20, 2012 Posts 13 Reaction score 3 Dec 20, 2012 #3 pozzolana wanaanzia mifuko 1000 unakuwa wakala unaletewa toka mbeya hadi Tazara.