Nitrofurantoin 100mg
Member
- Dec 12, 2017
- 20
- 33
Kupatikana kwa haki Tanzania hususani central police DSM pale imekuwa ni changamoto hususani kesi za utapeli na uwizi, maaskari wamegeuka vishoka wa kuwatorosha watuhumiwa wa utapeli.
Mtu anaetapeli amejiwekea immunity kituo kikubwa kama central ili tu wadai wakifika central kufuatia madai yao wao wanamtonya mtuhumiwa ajifiche au atoroke mji ili asiweze kukamatwa Alafu wao wanapozwa na mtuhumiwa.
Unafuatilia mamilioni ya pesa Askari yupo tayari apewe 20k avujishe mchongo ili wewe ukose haki yako.
Magufuli amka baba