mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 365
- 1,050
Ni wapi huko ulikolala madirisha wazi bila wasiwasi??acha uongo wa kijinga JFAlifanikiwa sana kudhibiti wizi aina zote wa siraha na vibaka mitaani hata wa kalam. Mnyonge mnyongeni ila mpe haki yake. Watu tuli lala madirisha wazi bila wasi wasi wa kuibiwa. Baada ya Magu kulala kila kitu kibaya kimeamka na hivyo umeme unakatika wakati wowote wezi na vibaka wanatawala mitaa.