Kuna siku nilikuta sehemu, nikaona askari anavutana jamaa mmoja hivi(nadhani alienda kumkamata).
Kuna dogo mmoja pembeni alirusha jiwe na kumponda yule mgongo halafu dogo akakimbia. Kwakuwa hayakuwa yananihusu nikapita hivi.
Kufika mbele nikakutana na dogo, kumuuliza kama anamfahamu yule mtuhumiwa na ana msala gani, dogo akanijibu, "yaani bro hawa polisi ...(tusi) sana, mimi simjui yule jamaa(mtuhumiwa) ila nikikuta polisi sehemu anagombana na jambazi, namsaidia jambazi tumuue polisi"