CEO alishakuwa cleared na mahakama ya Zambia

CEO alishakuwa cleared na mahakama ya Zambia

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Njooni na lingine
20220927_141348.jpg
 
Hata "yule jamaa" alikuwa cleared na mahakama.Nadhani unauona utoto wake.Tabia haing'oki na ngozi.Huendelea kucheza mumo kwa pale.Subiri kidogo.
 
Mzee baba hii kali sana....

Yani Yanga imefikiahatua ya kuajiri Panya road wa Zambia.... Aibu naona mimi
Aliyewaita mbumbumbu alitoka kunyea debe jela na mkamchagua kuwa kiongozi huko makoloni
 
tunawaonea huruma Vinyesi fc mtaibiwa mje hapa kulia lia nyie semeni amesafishwa... tabia yake ni mbaya hamtaki kusikia
 
Back
Top Bottom