- Thread starter
- #21
Rudia kusoma hizo sifa na pia kasome katiba ya Yanga. Hovyo kabisaSoma sifa za mwobaji kazi utapata point yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia kusoma hizo sifa na pia kasome katiba ya Yanga. Hovyo kabisaSoma sifa za mwobaji kazi utapata point yangu
Inabdi ulete wewe iyo katiba izo sifa nishakuwekea hapo achakukaza fuvuRudia kusoma hizo sifa na pia kasome katiba ya Yanga. Hovyo kabi
Ni sifa ipi imekuwa violatedSoma sifa za mwobaji kazi utapata point yangu
Rage alikuwa cleared na mahakama ndio maana anawaita mambumbumbu.Hata "yule jamaa" alikuwa cleared na mahakama.Nadhani unauona utoto wake.Tabia haing'oki na ngozi.Huendelea kucheza mumo kwa pale.Subiri kidogo.
Unateseka ukiwa wapi? Simba ndio maskani ya majizi, Rage, Kaburu, Aveva na friends of Simba.Wenye akili timamu awawezi kuajiri mwizi kuwa ceo.
Kule kwao, karibia wote ni mbumbumbu! Yaani walionusurika ni Ismail Aden Rage na Mzee Kilomoni pekee.na kule makolokoloni fc, wote ni mbumbumbu except nani??? au kule hakuna exception?ni wotee MBUMBUMBU??HAHAHAHA
Hatia ya mtu hawezi kuwaambukiza wengine na kuwaita atakavyo.Jamaa zenu "wabee"(✌️)ni wahalifu sugu."Takanini" na huyo "mupiya"!🤔🤔🤔🤔Rage alikuwa cleared na mahakama ndio maana anawaita mambumbumbu.