CEO Andre Mtine atarejea nchini leo Julai 10, 2023 akitokea Zambia baada ya likizo yake kumalizikia

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Source East Africa redio muda huu.

Haya roho mbaya mnaozusha kuwa kapigwa chini kwa sababu ya uswahili na ukata mna la kusema?

Safari hii mnaahangaika sana kuchochea kuni kwenye jungu lililojaa mawe mkiamini kuwa ni maharage mtakula kumbe kitakachofuata ni kilio.

Endeleeni kuzusha habari za uongo.

CEO wa Yanga sc Andre Mtine atarejea Leo kutoka Zambia kuja kuendelea na majukumu yake.

Hili limekuja baada ya wahuni kutoka msimbazi (wanasimba) kuzusha kuwa kajiuzulu kwa sababu anaingiliwa kwenye majukumu yake na Eng Hers.

Mwamba bado yupo sana puuzeni huo uzushi.
 
Kwa hiyo kumbe ni unafiki kama mliofanya kwa kuwaaminisha Jean Baleke amesepa Simba? Kweli naanza kuamini ule msemo "Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu
 
Je jamaa yule mfupi na mweusi tii mwenye kichwa kikubwa na mvaa viatu vilivyokwisha kisiginoni anasemaje?
 
Manara hataki tetesi za yanga ila yeye tetesi za team nyingine rukhsa ila yule albino sijui anajikuta nani.
 
vi platform vyao haviwezi kwenda viral bila kuwazungumzia yanga,we subiri ya waanze mambo yao uone watakavyopiga pesa hivyo vijamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…