NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Source East Africa redio muda huu.
Haya roho mbaya mnaozusha kuwa kapigwa chini kwa sababu ya uswahili na ukata mna la kusema?
Safari hii mnaahangaika sana kuchochea kuni kwenye jungu lililojaa mawe mkiamini kuwa ni maharage mtakula kumbe kitakachofuata ni kilio.
Endeleeni kuzusha habari za uongo.
CEO wa Yanga sc Andre Mtine atarejea Leo kutoka Zambia kuja kuendelea na majukumu yake.
Hili limekuja baada ya wahuni kutoka msimbazi (wanasimba) kuzusha kuwa kajiuzulu kwa sababu anaingiliwa kwenye majukumu yake na Eng Hers.
Mwamba bado yupo sana puuzeni huo uzushi.