Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zako za kimbuzi.Umeambiwa uelezee mafanikio yake tokea ameshika iyo nafasi acha story za kufikirika
Senzo pale yanga aliiomba hio nafasi!? Je Manara hapo yanga aliiomba hio nafasi!?au kwakuwa boss wenu mwarabu anapenda nyaa ya mwarabu wa nguruka ndio akampachika hapo kwenye kitengo cha uropoKwani aliomba kazi, si mlimhonga tu hiyo nafasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ndo changamoto kubwa ambayo wengi hawaionagimashabiki wa Simba na Yanga huwa wanatamani mambo makuubwa wakati michango ya 1000 kwenye timu tu inawashinda.
Nafikiri ni bora kuwa na akili za kimbuz kuliko kuwa na akili za kikondoo, kondoo na mbuz nani mwenye unafuu, kama mnajua ivyo muache na yeye mwenyewe aache kujilinganisha na senzo, unalinganisha mlima na kichuguu mnazo akili kweli nyie!Akili zako za kimbuzi.
timu zina zaidi ya miaka 40 hazina maendeleo.Babra huyu wa kuongoza miaka mitatu tu ndo unataka maendeleo?
Architecture wetu walikuwa wanachukua vipimo kwa kuangalia kwa macho tu!Wanajamvu huyu mwanadada huwa sijawahi kabisa kumuelewa.
Tangu apate ile nafasi pale Simba SC naona kama amewarudisha sana nyuma wale Jamaa. Hakuna jambo amefanya ambalo mwanasimba anaweza kuona umuhimu wake.
Mwenzake Senzo ana mafanikio ambayo yanaonekana na kuelezeka.
Sasa huyu mwanadada kila atakacho gusa ni lazima kiishie kati.
Alikuja na mkakati wa Kikaragosi Cha Simba SC mwisho wa siku kikaragosi chenyewe hakionekani tangu wadau wadai kuwa kinawatisha watanzania.
Alikuja na mpango wa kuchangisha pesa za uwanja, ikafika hatua wakakusanya mil 60 tu ndani ya miezi 3. Na mkakati huo ukaishia hapo hapo.
Yeye alihusika pakubwa kwenye kuongoza jopo la kumpata kocha mpya. Akakurupuka wakaleta. Didier GOMES Da Rosa. Na sasa kawapoteza mazima na kasepa.
Leo Ameita waandishi wa habari waongozane naye kwenda Bunju ili wachukue tukuo zima ambapo Architect akichukua vipimo. Tena wakiwa wamevaa Reflectors na Helment kabisa. [emoji23][emoji23]
Sasa unaanza kujiuliza huo ujenzi utaanza kwa kutegemea pesa ya kampeni ya NaniZAIDI? Yaani milioni 101 kweli ndio za kumfanya mtu aanze kutafuta mkandarasi?
Huyu Dada ana mengi sana ya kujifunza kutoka kwa CEO SENZO wa DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS.
Kama kuna jambo lolote ambalo amefanikiwa ndani ya miama yake 2 akiwa pale naomba mnitaarifu nimekaa pale nasoma Comments zenu!
wewe uliyeandika huu uzi umefaulu wapi?Wanajamvu huyu mwanadada huwa sijawahi kabisa kumuelewa.

Bw. Senzo kaifanyia nini uto?Wanajamvu huyu mwanadada huwa sijawahi kabisa kumuelewa.

Akili zako za kimbuzi.
timu zina zaidi ya miaka 40 hazina maendeleo.Babra huyu wa kuongoza miaka mitatu tu ndo unataka maendeleo?
Shabiki wa Yanga na Simba anataka mafanikio yake kama upepo, badala wangekuwa wanalipa kadi za uanachama hata Kwa Tsh 50,000 Kwa mwaka na walipe wengi iwezekananvyo Kwa kuhamasishana Ili waache kutegemea Kila kitu afanya mfadhilimashabiki wa Simba na Yanga huwa wanatamani mambo makuubwa wakati michango ya 1000 kwenye timu tu inawashinda.
Watu wa Yanga walivyo vichaa wanaeleza kuwa babra hajafanikiwa kwa lolote huku wakisema Senzo kafanikiwa, wakiulizwa kafanikiwa kwa lipi wanasema "iko wazi"
Iko wazi kwa mama zenu huko, sisi hatujui tuelezeni.
Simba hawana digital Reg?Project ya Digital Reg.
Ilikuwa midomoni tu.
Kaja kaweka footprints za utekelezaji.
Mpango kazi ukaanza mpaka sasa awamu ya awali imekwisha fanikiwa.
He also laid a foundation kwa ajili ya mabadiliko ya uwekezaji na kanikiwa hata kushawishi mabadiliko ya katiba ili yaendane na mabadiliko ya uendeshajk wa klabu. (Ndio maana watu hawajapelekwa kwenye tume za ajabu ajabu)
To mention a few!!
Hahahaha achana nayeye huyo mhaya kichwa chake pwaaa pwaaaa hakumbuki kuwa kila wamalaofanya yanga wanaiga kutoka simba. 🤣🤣😭Simba hawana digital Reg?
Duuuh kweli wewe ni nshomile haswa.Project ya Digital Reg.