CEO Barbara anaingia moja kwa moja "peponi"

Baada ya kuhonga zile mechi 13 za udhamin wa GSM kwa milion 2 kila mwezi halafu unajisifu
Kwanza lipeni club pesa ya kuweka bagde ya gsm kwenye jezi
Sasa kama mpaka nyinyi wenyewe wakataa hongo, mnakubali kuhongwa na mwisho wa siku kupokea vipigo viwili na sare 2! Shida iko wapi?

Na msimu huu tutatumia njia ile ile. Mjiandae tu kwa kupokea bahasha za GSM na vipigo.
 
Mbona sc tulikataa huo udhamini wa milion 2 kwa mwezi na isitosho hivy vipigo ni ajali kama ajali nyingne nadhan msimu uanzao tutakuwa bora zaidi kuliko huu msimu ulioisha
Tukutane ngao ya jamii
 
sababu kuu ni Simba kuweka nguvu kubwa kimataifa kuliko michuano ya ndani,Simba kama club washilijua hilo na msimu huu wanaenda kurudisha mataji yote,nyinyi mtabaki na mimavi tu kwenye makalio[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mpaka walitoa unyaa kupata FA
 
Baada ya kuhonga zile mechi 13 za udhamin wa GSM kwa milion 2 kila mwezi halafu unajisifu
Kwanza lipeni club pesa ya kuweka bagde ya gsm kwenye jezi
Na safari hii tutawahonga mpaka wake zenu majumbani kama nyie waume zao mnahongwa kirahisi hivyo mpaka mnaachia basi mjue msimu ujao hongo itaanzia kwa Mo, babra mpaka kwenu mashabiki mtuuzie iyo timu kabisa
 
Upeo wako wa kufikiri umeishia hapo
 
Attachments

  • IMG_20220705_083819.jpg
    31.5 KB · Views: 4
sababu kuu ni Simba kuweka nguvu kubwa kimataifa kuliko michuano ya ndani,Simba kama club washilijua hilo na msimu huu wanaenda kurudisha mataji yote,nyinyi mtabaki na mimavi tu kwenye makalio[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Wacha weeeeh
 
Dots connected
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…