Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Sasa kama mpaka nyinyi wenyewe wakataa hongo, mnakubali kuhongwa na mwisho wa siku kupokea vipigo viwili na sare 2! Shida iko wapi?Baada ya kuhonga zile mechi 13 za udhamin wa GSM kwa milion 2 kila mwezi halafu unajisifu
Kwanza lipeni club pesa ya kuweka bagde ya gsm kwenye jezi
Na msimu huu tutatumia njia ile ile. Mjiandae tu kwa kupokea bahasha za GSM na vipigo.