CEO BARBARA MPISHE MAGORI,HAMIA MARKETING

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Inavyoonekana una ujuzi sana wa kuhangaikia pesa kuingia lakini pia usajili huu umeshindwa ku cover sehemu nyeti kabisa
Namba 6 na namba 9 zote hizo ni sababu ya ubahili

Mbaya zaidi mazungumzo yako kila siku yanafutayarisha kisaikolojia kumuuza sakho ambaye bila shaka mbadala wake atatoka serbia kwa wadhuuunguuu

Tuna ku appreciate sana ila its high time u deal na marketing u ceo muachie magori
 
Kunywa maji mengi sana...unatoa lawama za hovyo
 
Naomba unisaidie kazi za CEO tafadhali. Maana unadhani CEO ndio anasajili wachezaji
Uliza sakata ka abdul sopu utapata jibu,simba walitaka wampe milioni 60 kwa miaka 3 yeye kasema 40 kwa miwili hataki jifunga muda mrefu,kaona bora kiyombo ila hao wenzake wotee walikuwa wanamtaka sopu
 
Simba ilitakiwa kuwe na kamati ya usajili ambayo ilipaswa kuwa na mwenyekiti wake, Barba inaonekana kika kitu anafanya yeye, matokeo yake ndiyo haya
Watu hawajui power kubwa aliyonayo,sakata la abdul sopu na dilunga limeonyesha hilo anna wa overide wenzake kwa hiyo ikifika wakati wa lawama azibebe tu kama tunavyomsufiaga
 
Inavyoonekana una ujuzi sana wa kuhangaikia pesa kuingia lakini pia usajili huu umeshindwa ku cover sehemu nyeti kabisa
Namba 6 na namba 9 zote hizo ni sababu ya ubahili

Mbaya zaidi mazungumzo yako kila siku yanafutayarisha kisaikolojia kumuuza sakho ambaye bila shaka mbadala wake atatoka serbia kwa wadhuuunguuu

Tuna ku appreciate sana ila its high time u deal na marketing u ceo muachie magori
Amesusiwa timu uyo babra wako, anataka kufanya kila kitu yeye, ulimsikia kassim dewji anampa makavu mkaanza kumnanga lakini dewji alikuwa anaongea ukweli ata Kama na yeye ana makandokando yake, kamati ya usajili ndio inajua kocha anamuhitaji nani na amtaki nani sasa mamlaka ya kamati ya usajili yanapoporwa na CEO ambae yeye anaangalia wachezaji wa bei kitonga ili kubana matumizi matokeo yake ndo ayo wanaletwa kina kyombo, na kina kapama
 
na yule Mavuga anaefatilia viwango vya wachezaji hivi halioni hilo la umuhimu wa kiungo mkabaji,namba tisa na beki wa kati mwenye kasi,yule Oatara ni mzito kusprint miguu ila mambo mengine yote yuko poa sana.
 
Kila siku huwa mnasema mpira una matokeo ya aina tatu, nashangaa mkiguswa kidogo tu mnasahau yote hayo, wacheni maisha yaendelee...kufungwa na Yanga hakukuanza jana.. tutakutana tu.

Next game..
 
MO: kazi ya CEO kubwa ambayo anapimwa ni cuting cost and increasing revenue. hiyo ndio kaz ya barbra, mengine yote majukumu ni mbwembwe tu
 
Hii ilipaswa kuwa kazi ya mkurugenzi wa Ufundi, kocha Scauting, Analyst nk.

Sio kumsinguzia CEO
Kasim Dewji aliongea watu wakamshambulia kuwa analalamika. Lisa.kanyimwa tenda ya jezi alisema Simba inapaswa kuwa na mkurugenzi wa ufundi pia wakipendekeza kusajili wanasema timu Haina pesa
 
Kila siku huwa mnasema mpira una matokeo ya aina tatu, nashangaa mkiguswa kidogo tu mnasahau yote hayo, wacheni maisha yaendelee...kufungwa na Yanga hakukuanza jana.. tutakutana tu.

Next game..
Tumechokwa kufungiwa matokeo ya aina tatu sawa ila unyonge Kwa yanga umezidi
 
Njaa kali tuu hamna kitu matola ndo atupishe maana ndo mzigo wa kwanza pale
 
na yule Mavuga anaefatilia viwango vya wachezaji hivi halioni hilo la umuhimu wa kiungo mkabaji,namba tisa na beki wa kati mwenye kasi,yule Oatara ni mzito kusprint miguu ila mambo mengine yote yuko poa sana.
Kama ukiangalia mpira makosa mengi ya Shabalala na inonga pamoja na mkude
 
Kasim Dewji aliongea watu wakamshambulia kuwa analalamika. Lisa.kanyimwa tenda ya jezi alisema Simba inapaswa kuwa na mkurugenzi wa ufundi pia wakipendekeza kusajili wanasema timu Haina pesa
Eti wakipendekeza usajili timu haina pesa, watu wanafiki sana
 
Back
Top Bottom