CEO BARBARA MPISHE MAGORI,HAMIA MARKETING

CEO BARBARA MPISHE MAGORI,HAMIA MARKETING

Hii ilipaswa kuwa kazi ya mkurugenzi wa Ufundi, kocha Scauting, Analyst nk.

Sio kumsinguzia CEO
Simba hawana Technical Director,nakumbuka mzee Kassim Dewji ali suggest hiki kitu mkamkatalia pale ambapo alipojiondoa kwenye kamati ya usajili.
 
Matatizo ya simba:

Fullbacks
Central defensive midfielder
Central attacking midfielder
Striker
Backup goal keeper

Ni muda sasa wa kapombe,shabalala,mkude na inonga watafutiwe changamoto mpya...hawa ndio wachezaji wanaojiona kuwa wana nafasi ya kudumu kwenye kikosi
 
Back
Top Bottom