njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nani mweny maamuzi ya mwisho? Hivyo vitengo unavyotaja vipo? Vipi yeye kukataa kumpa mkataba abdul sopu wa miaka 2 wakavutana hela akaona kiyombo ni cheaper?Hii ilipaswa kuwa kazi ya mkurugenzi wa Ufundi, kocha Scauting, Analyst nk.
Sio kumsinguzia CEO
Kunywa maji mengi sana...unatoa lawama za hovyoInavyoonekana una ujuzi sana wa kuhangaikia pesa kuingia lakini pia usajili huu umeshindwa ku cover sehemu nyeti kabisa
Namba 6 na namba 9 zote hizo ni sababu ya ubahili
Mbaya zaidi mazungumzo yako kila siku yanafutayarisha kisaikolojia kumuuza sakho ambaye bila shaka mbadala wake atatoka serbia kwa wadhuuunguuu
Tuna ku appreciate sana ila its high time u deal na marketing u ceo muachie magori
Uliza sakata ka abdul sopu utapata jibu,simba walitaka wampe milioni 60 kwa miaka 3 yeye kasema 40 kwa miwili hataki jifunga muda mrefu,kaona bora kiyombo ila hao wenzake wotee walikuwa wanamtaka sopuNaomba unisaidie kazi za CEO tafadhali. Maana unadhani CEO ndio anasajili wachezaji
Watu hawajui power kubwa aliyonayo,sakata la abdul sopu na dilunga limeonyesha hilo anna wa overide wenzake kwa hiyo ikifika wakati wa lawama azibebe tu kama tunavyomsufiagaSimba ilitakiwa kuwe na kamati ya usajili ambayo ilipaswa kuwa na mwenyekiti wake, Barba inaonekana kika kitu anafanya yeye, matokeo yake ndiyo haya
Siyo maji tu natafuna na glass hapa nilipo kwa hasiraKunywa maji mengi sana...unatoa lawama za hovyo
Sidhani kama yule dada atakubali kulipa waganga kama hadi leo timu inafanya mazoezi ya wazi kule bunju wakidai wenyewe ni wazunguNa wazee wetu tuwakumbuke pia, bila kusahau kamati ya ufundi
Amesusiwa timu uyo babra wako, anataka kufanya kila kitu yeye, ulimsikia kassim dewji anampa makavu mkaanza kumnanga lakini dewji alikuwa anaongea ukweli ata Kama na yeye ana makandokando yake, kamati ya usajili ndio inajua kocha anamuhitaji nani na amtaki nani sasa mamlaka ya kamati ya usajili yanapoporwa na CEO ambae yeye anaangalia wachezaji wa bei kitonga ili kubana matumizi matokeo yake ndo ayo wanaletwa kina kyombo, na kina kapamaInavyoonekana una ujuzi sana wa kuhangaikia pesa kuingia lakini pia usajili huu umeshindwa ku cover sehemu nyeti kabisa
Namba 6 na namba 9 zote hizo ni sababu ya ubahili
Mbaya zaidi mazungumzo yako kila siku yanafutayarisha kisaikolojia kumuuza sakho ambaye bila shaka mbadala wake atatoka serbia kwa wadhuuunguuu
Tuna ku appreciate sana ila its high time u deal na marketing u ceo muachie magori
Kasim Dewji aliongea watu wakamshambulia kuwa analalamika. Lisa.kanyimwa tenda ya jezi alisema Simba inapaswa kuwa na mkurugenzi wa ufundi pia wakipendekeza kusajili wanasema timu Haina pesaHii ilipaswa kuwa kazi ya mkurugenzi wa Ufundi, kocha Scauting, Analyst nk.
Sio kumsinguzia CEO
Tumechokwa kufungiwa matokeo ya aina tatu sawa ila unyonge Kwa yanga umezidiKila siku huwa mnasema mpira una matokeo ya aina tatu, nashangaa mkiguswa kidogo tu mnasahau yote hayo, wacheni maisha yaendelee...kufungwa na Yanga hakukuanza jana.. tutakutana tu.
Next game..
Kama ukiangalia mpira makosa mengi ya Shabalala na inonga pamoja na mkudena yule Mavuga anaefatilia viwango vya wachezaji hivi halioni hilo la umuhimu wa kiungo mkabaji,namba tisa na beki wa kati mwenye kasi,yule Oatara ni mzito kusprint miguu ila mambo mengine yote yuko poa sana.
Eti wakipendekeza usajili timu haina pesa, watu wanafiki sanaKasim Dewji aliongea watu wakamshambulia kuwa analalamika. Lisa.kanyimwa tenda ya jezi alisema Simba inapaswa kuwa na mkurugenzi wa ufundi pia wakipendekeza kusajili wanasema timu Haina pesa