CEO Barbara: Tumepokea simu nyingi baada ya Tuzo ya goli bora la CAF, klabu kadhaa zikimuhitaji Sakho

CEO Barbara: Tumepokea simu nyingi baada ya Tuzo ya goli bora la CAF, klabu kadhaa zikimuhitaji Sakho

ASANTE, MAYELE ALISHAMTUNGUA MTU PALE TAIFA
Mkabahatishee na nyie, kwan mnakwama wapiiii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tulishavuka level hizo sie.
Poleeeeeeeh.
 
Simba ni tamu kama maini...

Simba ni kama Israel unatakiwa kufungamana nayo ili ufanikiwa... ukiilaani Simba umejilaani, ukiibariki Simba umebarikiwa
 
Simba ni tamu kama maini...

Simba ni kama Israel unatakiwa kufungamana nayo ili ufanikiwa... ukiilaani Simba umejilaani, ukiibariki Simba umebarikiwa
Kauli za utumwa wa akili kama hizi huwa zinanichosha kabisa. Ni liini mwafrika mwenzangu utaamka na kuacha huo ujinga wa kuabudu binadamu wenzako kisa tu wamekudanganya eti wao ni watu maalum walioteuliwa na anayedaiwa kuwa ndo muumbaji wa ulimwengu?
 
Kufa
 
kwa Sakho sio level ya kucheza Africa tena.....Sakho ni wa kwenda kucheza ulaya
 
Wale wenye (mwiko)miko nyuma, naomba naendelee kubaki nayo hukohuko nyuma huku mbele watuachie sisi wa halali ambao hatuweki miko nyuma,

Sisi wa mbele tunaonekana na wa mbele wenzetu kama ilivyokua pale MOROCCO na sio kumbwelambwela ndani ukisia nje tu unanyanyuka na kurudi kukaa
 
Back
Top Bottom