Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mkabahatishee na nyie, kwan mnakwama wapiiii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tulishavuka level hizo sie.
Poleeeeeeeh.
🤣🤣🤣🤣Ni rahisi kwa Sakho kusajiliwa huko ufaransa kuliko fei Toto kutoka Tanzania hata Kama ndo angekuwa ameshinda goli maana angeonekana ameotea tu.
Ni kosa kama kweli unataka ubingwa wa afrika inabidi ujenge timuKanute nae yumbioni kuuzwa 😥
Kauli za utumwa wa akili kama hizi huwa zinanichosha kabisa. Ni liini mwafrika mwenzangu utaamka na kuacha huo ujinga wa kuabudu binadamu wenzako kisa tu wamekudanganya eti wao ni watu maalum walioteuliwa na anayedaiwa kuwa ndo muumbaji wa ulimwengu?Simba ni tamu kama maini...
Simba ni kama Israel unatakiwa kufungamana nayo ili ufanikiwa... ukiilaani Simba umejilaani, ukiibariki Simba umebarikiwa
KufaKauli za utumwa wa akili kama hizi huwa zinanichosha kabisa. Ni liini mwafrika mwenzangu utaamka na kuacha huo ujinga wa kuabudu binadamu wenzako kisa tu wamekudanganya eti wao ni watu maalum walioteuliwa na anayedaiwa kuwa ndo muumbaji wa ulimwengu?
Ngoja tuoneNi kosa kama kweli unataka ubingwa wa afrika inabidi ujenge timu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa tuzo ake iko wapi? Au hata kuwa nominees?? Khaaaaah.ASANTE, MAYELE ALISHAMTUNGUA MTU PALE TAIFA