Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
ceo hana kibali, uhamiaji wamemnyima visa.Yupo ofisini kwake. Una jingine bwashee?
ceo hayupo bongo. Ana mkataba, simba inamlipa, kuna shida kwenye work permit.Juzi juzi nilikuwa najiuliza ilikuwaje lile tukio la yule sponsor mpya alienda kusaini Mangungu, mtu asiyehusika kabisa na ishu za management ya klabu.
Ila si alishakabidhiwa ofisi na mtangulizi wake?
simba wanazuia hii habari kusambaa huu uzi utafutwaMashabiki wa Simba wao kazi yao ni kufatilia habari za yanga tu habari zao haziwahusu wala hawazijui
Haina na si aina,aina ya nini!?..shule siku hizi hamfundishwi kiswahili!?as we speak simba sc aina CEO, the newly ceo bado ajafika tanzania, sasa sijui kiti chake , who is responsible??.
simba board and fans wapo kimya?? no information no questions asked.
je ni sahii kwa club kubwa kama simba kutokuwa na ceo??
all in all, hata simba is working hard to suppress the CEO news, possibly preventing further damages.
ila simba sc has no ceo. try again is leading every thing.
Achana nao ni mambumbu haosimba wanazuia hii habari kusambaa huu uzi utafutwa
Dah kwa hiyo serikali ndiyo imeweka kikwazo. Inataka waswahili washikilie hizo nafasi ili waweze kuwatumia wanavyotaka kwa mambo ya siasa.ceo hayupo bongo. Ana mkataba, simba inamlipa, kuna shida kwenye work permit.
Mbona kama unachachawiza kama Maulidi so lama hawana CO mbona nyinyi hna mwenyekitiAs we speak simba sc aina CEO, the newly ceo bado ajafika tanzania, sasa sijui kiti chake , who is responsible?
Simba board and fans wapo kimya?? no information no questions asked.
Je ni sahihi kwa club kubwa kama simba kutokuwa na ceo??
All in all, hata simba is working hard to suppress the CEO news, possibly preventing further damages.
Ila Simba SC has no ceo. try again is leading every thing.
ceo mwana jeshi, simba has leadership problemsDah kwa hiyo serikali ndiyo imeweka kikwazo. Inataka waswahili washikilie hizo nafasi ili waweze kuwatumia wanavyotaka kwa mambo ya siasa.
Ila Simba bwana, pamoja na kujikomba kwa wanasiasa, kwa nini mambo yake huwa hayaendi?
yanga left the mwenye kiti non sense way back. it holds no merit, big teams don't have that nonsense.Mbona kama unachachawiza kama Maulidi so lama hawana CO mbona nyinyi hna mwenyekiti
never, they destroyed MozambiqueNever trust Rwandanese
Na yule Mnyarwanda ni nani?As we speak simba sc aina CEO, the newly CEO bado ajafika tanzania, sasa sijui kiti chake , who is responsible?
Simba board and fans wapo kimya?? no information no questions asked.
Je ni sahihi kwa club kubwa kama Simba kutokuwa na CEO??
All in all, hata Simba is working hard to suppress the CEO news, possibly preventing further damages.
Ila Simba SC has no CEO. try again is leading every thing.
lini umemuona??Na yule Mnyarwanda ni nani?