CEO Mpya wa Simba yupo wapi?

CEO Mpya wa Simba yupo wapi?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
I will be short

Vipi CEO wa Rwanda yupo wapi? Simba announced there new ceo a Rwandan

Where is the new CEO au kawakimbia?

Source : Ricardo Momo
 
As we speak Simba SC haina CEO, the newly CEO bado hajafika Tanzania, sasa sijui kiti chake, who is responsible?

Simba board and fans wapo kimya! No information no questions asked!

Je, ni sahihi kwa club kubwa kama Simba kutokuwa na CEO?

All in all, hata Simba is working hard to suppress the CEO news, possibly preventing further damages.

Ila Simba SC has no CEO. Try again is leading every thing.
 
Juzi juzi nilikuwa najiuliza ilikuwaje lile tukio la yule sponsor mpya alienda kusaini Mangungu, mtu asiyehusika kabisa na ishu za management ya klabu.

Ila si alishakabidhiwa ofisi na mtangulizi wake?
 
Juzi juzi nilikuwa najiuliza ilikuwaje lile tukio la yule sponsor mpya alienda kusaini Mangungu, mtu asiyehusika kabisa na ishu za management ya klabu.

Ila si alishakabidhiwa ofisi na mtangulizi wake?
ceo hayupo bongo. Ana mkataba, simba inamlipa, kuna shida kwenye work permit.
 
as we speak simba sc aina CEO, the newly ceo bado ajafika tanzania, sasa sijui kiti chake , who is responsible??.
simba board and fans wapo kimya?? no information no questions asked.

je ni sahii kwa club kubwa kama simba kutokuwa na ceo??

all in all, hata simba is working hard to suppress the CEO news, possibly preventing further damages.

ila simba sc has no ceo. try again is leading every thing.
Haina na si aina,aina ya nini!?..shule siku hizi hamfundishwi kiswahili!?
 
ceo hayupo bongo. Ana mkataba, simba inamlipa, kuna shida kwenye work permit.
Dah kwa hiyo serikali ndiyo imeweka kikwazo. Inataka waswahili washikilie hizo nafasi ili waweze kuwatumia wanavyotaka kwa mambo ya siasa.

Ila Simba bwana, pamoja na kujikomba kwa wanasiasa, kwa nini mambo yake huwa hayaendi?
 
As we speak simba sc aina CEO, the newly ceo bado ajafika tanzania, sasa sijui kiti chake , who is responsible?

Simba board and fans wapo kimya?? no information no questions asked.

Je ni sahihi kwa club kubwa kama simba kutokuwa na ceo??

All in all, hata simba is working hard to suppress the CEO news, possibly preventing further damages.

Ila Simba SC has no ceo. try again is leading every thing.
Mbona kama unachachawiza kama Maulidi so lama hawana CO mbona nyinyi hna mwenyekiti
 
Dah kwa hiyo serikali ndiyo imeweka kikwazo. Inataka waswahili washikilie hizo nafasi ili waweze kuwatumia wanavyotaka kwa mambo ya siasa.

Ila Simba bwana, pamoja na kujikomba kwa wanasiasa, kwa nini mambo yake huwa hayaendi?
ceo mwana jeshi, simba has leadership problems
 
As we speak simba sc aina CEO, the newly CEO bado ajafika tanzania, sasa sijui kiti chake , who is responsible?

Simba board and fans wapo kimya?? no information no questions asked.

Je ni sahihi kwa club kubwa kama Simba kutokuwa na CEO??

All in all, hata Simba is working hard to suppress the CEO news, possibly preventing further damages.

Ila Simba SC has no CEO. try again is leading every thing.
Na yule Mnyarwanda ni nani?
 
hii thread ilifutwa, 😂😂 thread za sports zinafutwa??

something is wrong at jamii forum currently. football is not politics. we laugh we joke bado wanafuta
 
Back
Top Bottom