Na wewe hoja yako umeileta kipashkuna. Kama unajua ishu ni kibali, inakuwaje unauliza kama amewakimbia Simba? Na kama Simba wameiweka hii taarifa pembeni ni sahihi ili kutoleta sintofahamu isiyo ya lazima ukizingatia wanataka kuendelea kupata ushirikiano kutoka vyombo vya serikali.