CEO Mpya wa Simba yupo wapi?

CEO Mpya wa Simba yupo wapi?

ceo mwana jeshi, simba has leadership problems

hii thread ilifutwa, 😂😂 thread za sports zinafutwa??

something is wrong at jamii forum currently. football is not politics. we laugh we joke bado wanafuta
Na wewe hoja yako umeileta kipashkuna. Kama unajua ishu ni kibali, inakuwaje unauliza kama amewakimbia Simba? Na kama Simba wameiweka hii taarifa pembeni ni sahihi ili kutoleta sintofahamu isiyo ya lazima ukizingatia wanataka kuendelea kupata ushirikiano kutoka vyombo vya serikali.
 
Hawa WATU wa Kagame kwenye soka letu, watatia nuksi, waendelee TU kupigana huko Ituri.
 
Back
Top Bottom