Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
nani anataka hiyo takataka?Atahamia Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani anataka hiyo takataka?Atahamia Yanga
Watu mnajua kushusha hukumu mno . Babra ni CEO haji ni msemajiInawezekana ikawa Haji ana makosa, likewise inawezekana ikawa Barba ana makosa.
Lakini swali langu kubwa ni MOJA TU.Kwanini kila mfanyakazi wa simba akifukuzwa Simba katika interview zao lazima wanatupia lawama zao Kwa CEO,barba iwe direct or indirect.
Sijawahi sikia mfanyakazi yoyote wa simba akimlaumu manara tokea nimeishabikia simba, sijawahi kumsikia mfanyakazi yoyote wa simba akimlaumu CEO aliyepita MAGORI wala sijawahi kumsikia mfanyakazi yoyote wa simba akimlaumu CEO aliyepita SENZO
Lakini kwa siku za hapa karibuni,kila mfanyakazi aliyefukuzwa simba alikuwa akitupia lawama zake kwa barba,kwa mfano CEO SENZO mwenyewe aliwahi kusema kuna wali walikuwa wanampinga ambao hawakuwa kwenye management yake,habari za kiinteligence zikasema kuwa alikuwa ni barba akichochea Moto ili achukue nafasi.
Hali kadhalika kwa swebi na kashembe kila mmoja amekuwa na manung'uniko na management ya Barba.
Ni dhahiri kuwa barba ana aminiwa sana na Mo kwani alianza kufanya kazi kwenye kampuni zake kabla ya kumleta pale Simba,so ni ngumu sana kwa mtumishi yoyote yule mwenye mawazo tofauti na Barba kuendelea ku-survive pale Simba.
Haji anaumaarufu mkubwa sana kuliko mtu yoyote pale Simba,hiki kitu nadhani ndio kinamfanya barba awe na wivu.Angalia hata project nyingi za Simba, Barba huwa anajipa credit yeye mwenyewe badala ya kuipa credit management yote ya simba,hii ni selfish behaviour na ni mbaya sana kwa mustakabali wa timu.Anapenda sana kujipa utukufu mwenyewe pasipo ku recognise efforts za watendaji wengine.
Kama umeisikiliza ile clip ya manara utagundua kuwa haji anaongea kwa hisia sana,ni dhahiri kuwa kulikuwa na sintofahamu ya muda mrefu na ameivumilia sana sasa kaamua kutema nyongo.
Huu ugomvi utawagawa mashabiki wa Simba na viongozi wao.Barba anaungwa mkono na Mwenyekiti wa Bodi huku manara akiungwa mkono sana na mashabiki wa Simba,so maamuzi yanapaswa kuwa ya uangalifu sana.Ni vyema wakae chini watatue kwa amani.
Sioni kosa lolote kwa manara kukutana na watu wa GSM.Yule ni celebrity lazima atumie uamarufu wake kutafuta kipato.
Kuwa ambassador wa kampuni ambayo ni mshindani wa boss wako kibiashara sio kosa,hilo ni swala la ujajusi wa KIUCHUMI hapo Barkhera kawin hiyo game,alichopaswa Mo ni kumshawishi Manara awe ambassador wake na sio kuleta chuki.
Manara ndio jipu. Atoke simba.Barba ni jipu.
Na sisi wanasimba hatutakubali kuona hili jipu likitaka kuiharibu brand yetu. Wanasimba tuko nyuma ya Manara. Ameitumikia club hii kwa jasho na damu na sisi ni mashahidi
Huyo utopolo achana nae.
Wote ngozi sawa mkuu.Tuangalie utaalam na hekima
na sio case ya ngozi yamtu
acha uwongoWote ngozi sawa mkuu.
Indeed.Atahamia Yanga