OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #21
kwa level za Utopolo hili ni swali la maana?MIMI NILISIKIA TU PALE ALIPOULIZWA NA MSIKILIZAJI MMOJA KAMA AMEOLEWA AU ANA BOYFRIEND?
AKAKATAA KUJIBU AKILALAMIKA WASIKILIZAJI HAWAMTENDEI HAKI KWA SWALI HILO.
SASA SIJUI ALISHINDWA NINI KUJIBU.
Anawapangia watu maswali ya kumuuliza?, Basi angejiuliza maswali mwenyewMIMI NILISIKIA TU PALE ALIPOULIZWA NA MSIKILIZAJI MMOJA KAMA AMEOLEWA AU ANA BOYFRIEND?
AKAKATAA KUJIBU AKILALAMIKA WASIKILIZAJI HAWAMTENDEI HAKI KWA SWALI HILO.
SASA SIJUI ALISHINDWA NINI KUJIBU.
HILO SWALI LILIULIZWA NA MSIKILIZAJI KWA NJIA YA SIMU.Kama kweli waliuliz kuhusu marital status yake basi watangazi wametia aibu sana sana.
Kipindi kinaitwa PB session husika ni 'HILI GAME' mambo ya michezo tu, halafu anakuja mtu ambaye ni CEO unamuuliza kuhusu kitu kingine kabisa.[emoji2369][emoji2369]
Kwanini swali hili hawaulizwi wanaume wanaoalikwa kwenye hiko kipindi.?
Na aliyeuliza swali ni mshabiki wa utopole ,Sasa wapuuzi kama hao dawa yao ni kutokujibu wanauliza ujinga tuIlo swali halihusiani na kazi yake halafu inaonyesha upeo wetu ulivyo tumeweka ngono mbele sio sinema au muziki ngono inachukua nafasi kubwa
Halina ugumu ila amekataa ili utopolo wasipate credit za kuongea ,una lingine bibieHILO SWALI LILIULIZWA NA MSIKILIZAJI KWA NJIA YA SIMU.
ILA KWANI LILIKUA NA UGUMU GANI KUJIBU?
Na si lazima kujibu,ushawahi kuona celebs wanahojiwa Kuna maswali wanajibu ..'no comment ' Sasa we unataka ajibu kwani yuko mahakamani ?Anawapangia watu maswali ya kumuuliza?, Basi angejiuliza maswali mwenyew
Bodi ya Simba wanaimba mchiriku kuanzia boss mpaka vijakazi loh😂. Yeye kama CEO atulie mambo ya vijembe amwachie manaraNako kameanza ujinga! Anachokitaka atakipata, hizi ngonjera amwachie vuvuzela!
Alihofia Mkude angedai kile kishika uchumba chake cha milioni 2 alichomtolea kwa Wazee wake siku chache tu zilizopita.MIMI NILISIKIA TU PALE ALIPOULIZWA NA MSIKILIZAJI MMOJA KAMA AMEOLEWA AU ANA BOYFRIEND?
AKAKATAA KUJIBU AKILALAMIKA WASIKILIZAJI HAWAMTENDEI HAKI KWA SWALI HILO.
SASA SIJUI ALISHINDWA NINI KUJIBU.
Wanamng'ang'aniaUtopolo wanamgangania Morrison
Serious kaongea hivyo?
Demu wa Mo nae kawa mswahilu tu, mambo ya utaalamu anaweza madimamango hapa. Kama anadhani Simba ni ya mumewe Mo basi asubiri chorus.
Zanzibar walukapima oil
Hakuulizwa na msikilizaji kwa njia ya simu, bali mtangazaji alisoma swali alilotumiwa kwa njia ya messageHILO SWALI LILIULIZWA NA MSIKILIZAJI KWA NJIA YA SIMU.
ILA KWANI LILIKUA NA UGUMU GANI KUJIBU?
maana halisi ya Utopolo, hawajui consistency kabisa. ndio maana wanaenda rundo kupokea mchezaji airportAnawapangia watu maswali ya kumuuliza?, Basi angejiuliza maswali mwenyew
Na kweli ataumbuka huyu aisee..Nako kameanza ujinga! Anachokitaka atakipata, hizi ngonjera amwachie vuvuzela!
Mtajijua nyie wenye mama zenu.Vipi ikatokea na wewe Mama yako akapimwa oil na wahuni?