CEO Simba SC: Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi

CEO Simba SC: Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi

MIMI NILISIKIA TU PALE ALIPOULIZWA NA MSIKILIZAJI MMOJA KAMA AMEOLEWA AU ANA BOYFRIEND?
AKAKATAA KUJIBU AKILALAMIKA WASIKILIZAJI HAWAMTENDEI HAKI KWA SWALI HILO.
SASA SIJUI ALISHINDWA NINI KUJIBU.
Anawapangia watu maswali ya kumuuliza?, Basi angejiuliza maswali mwenyew
 
Kama kweli waliuliz kuhusu marital status yake basi watangazi wametia aibu sana sana.
Kipindi kinaitwa PB session husika ni 'HILI GAME' mambo ya michezo tu, halafu anakuja mtu ambaye ni CEO unamuuliza kuhusu kitu kingine kabisa.🤷‍♂️🤷‍♂️
Kwanini swali hili hawaulizwi wanaume wanaoalikwa kwenye hiko kipindi.?
 
Kama kweli waliuliz kuhusu marital status yake basi watangazi wametia aibu sana sana.
Kipindi kinaitwa PB session husika ni 'HILI GAME' mambo ya michezo tu, halafu anakuja mtu ambaye ni CEO unamuuliza kuhusu kitu kingine kabisa.[emoji2369][emoji2369]
Kwanini swali hili hawaulizwi wanaume wanaoalikwa kwenye hiko kipindi.?
HILO SWALI LILIULIZWA NA MSIKILIZAJI KWA NJIA YA SIMU.
ILA KWANI LILIKUA NA UGUMU GANI KUJIBU?
 
Ilo swali halihusiani na kazi yake halafu inaonyesha upeo wetu ulivyo tumeweka ngono mbele sio sinema au muziki ngono inachukua nafasi kubwa
Na aliyeuliza swali ni mshabiki wa utopole ,Sasa wapuuzi kama hao dawa yao ni kutokujibu wanauliza ujinga tu
 
Anawapangia watu maswali ya kumuuliza?, Basi angejiuliza maswali mwenyew
Na si lazima kujibu,ushawahi kuona celebs wanahojiwa Kuna maswali wanajibu ..'no comment ' Sasa we unataka ajibu kwani yuko mahakamani ?
 
Nako kameanza ujinga! Anachokitaka atakipata, hizi ngonjera amwachie vuvuzela!
Bodi ya Simba wanaimba mchiriku kuanzia boss mpaka vijakazi loh😂. Yeye kama CEO atulie mambo ya vijembe amwachie manara
 
MIMI NILISIKIA TU PALE ALIPOULIZWA NA MSIKILIZAJI MMOJA KAMA AMEOLEWA AU ANA BOYFRIEND?
AKAKATAA KUJIBU AKILALAMIKA WASIKILIZAJI HAWAMTENDEI HAKI KWA SWALI HILO.
SASA SIJUI ALISHINDWA NINI KUJIBU.
Alihofia Mkude angedai kile kishika uchumba chake cha milioni 2 alichomtolea kwa Wazee wake siku chache tu zilizopita.
 
Mfano wako ni kitoto hauna corrilation na issue ya Yanga na Morrison, hayo yalikuwa masuala ya kikazi kati ya muaajiri na muajiriwa
 
HILO SWALI LILIULIZWA NA MSIKILIZAJI KWA NJIA YA SIMU.
ILA KWANI LILIKUA NA UGUMU GANI KUJIBU?
Hakuulizwa na msikilizaji kwa njia ya simu, bali mtangazaji alisoma swali alilotumiwa kwa njia ya message
 
Anawapangia watu maswali ya kumuuliza?, Basi angejiuliza maswali mwenyew
maana halisi ya Utopolo, hawajui consistency kabisa. ndio maana wanaenda rundo kupokea mchezaji airport
 
Back
Top Bottom