Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Kwamba akikaza match ya leo watachukua league. match ya caf ndo ya kupata jina Africa. hii ligi ipo tu.Hakuna kitu kama Useless matches,
Ko unataka kusema NBCPL ni useless kushinda?
Despite problems such as
1. inconsistency
2. winning useless matches
3. poor leadership structure
4. talent wasteful club
5. no yearly plans
6. lack of football board members
7. ceo shule hana, mikakati wala pressure
8. ni kikundi cha wahuni π
Kwa Kifupi aache shobo na Mali za Watu.Ni kukumbushe kua timu si ya wanachama. Kaa kwa kutulia sw
Pyramid imewachukua miaka mingapi?Sasa Unataka afanye nini?
Maendeleo ni Process....
Simba Imeichukua 57 years toka ianzishwe kucheza Fainali za CAF cup
1993 ....
Yanga imechukua 88 years toka ianzishwe kucheza Fainali za CAF CC 2023....
Sasa wewe inakuwaje unataka Azam ya Juzi juzi hapa ifike Fainali ilihali Vigogo vimetumia zaidi ya nusu Karne kufika...!
Waacheni wajenge timu...
Hili swali rahisi lakini gumu.Pyramid imewachukua miaka mingapi?
Ko.....dah hii lugha hii!!??!!Hakuna kitu kama Useless matches,
Ko unataka kusema NBCPL ni useless kushinda?