CEO wa Azam FC karidhika na Azam yake na shida hizi?

CEO wa Azam FC karidhika na Azam yake na shida hizi?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Despite problems such as;
1. inconsistency
2. winning useless matches
3. poor leadership structure
4. talent wasteful club
5. no yearly plans
6. lack of football board members
7. ceo shule hana, mikakati wala pressure
8. ni kikundi cha wahuni 😂
 
Ni kukumbushe kua timu si ya wanachama. Kaa kwa kutulia sw
 
Despite problems such as
1. inconsistency
2. winning useless matches
3. poor leadership structure
4. talent wasteful club
5. no yearly plans
6. lack of football board members
7. ceo shule hana, mikakati wala pressure
8. ni kikundi cha wahuni 😂

Sasa Unataka afanye nini?

Maendeleo ni Process....

Simba Imeichukua 57 years toka ianzishwe kucheza Fainali za CAF cup
1993 ....

Yanga imechukua 88 years toka ianzishwe kucheza Fainali za CAF CC 2023....

Sasa wewe inakuwaje unataka Azam ya Juzi juzi hapa ifike Fainali ilihali Vigogo vimetumia zaidi ya nusu Karne kufika...!

Waacheni wajenge timu...
 
Pyramid imewachukua miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom