CEO wa ChatGPT Sam Altman: Kama sheria itapitishwa matumizi ya ChatGPT kuchambua kesi mahakamani wengi mtajikuta mkijilaumu

CEO wa ChatGPT Sam Altman: Kama sheria itapitishwa matumizi ya ChatGPT kuchambua kesi mahakamani wengi mtajikuta mkijilaumu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Na nukuu kauli yake Sam Altman CEO wa chatgpt ambapo kuna mswaada mkubwa sasa GPT kuingia mpaka kwenye mfumo wa kimahakama kuchakata vifungu kunaweza kuwa weka wazi ambao wakiamini kuwa GPT ni msiri wao wakiuliza au kujua na wengine wakifanya kutatua tatizo.
sssss.jpg

Na jiuliza kama wakili wa serikali kwenye kesi ya lissu unatumia GPT au wengine wanakutafuta kukujua unavyoendesha kesi na kujua una CV zako ambazo hata nchi zishakujua.
hq720sssss.jpg


Sio tu kwa hayo hata mnaotumia kutafuta mtafanyaje au kujenga kupambana na kesi.Hii sheria ikipitishwa na kuwa mfumo wa mahakama kusaidia hakimu huyu mtu anaweza kuwa wizara ya kilimo sasa muhasibu kukwepa AI.
 
Hiyo kesi ni Lissu Vs Samia na genge lake.

Huko mahakamani ni geresha tu, jambo lao likipita Dpp ataifuta kiulaini.
shida huu mfumo ChatGpt ndio unaokwenda kupitishwa mahakama zitumie unaweza kushusha watu CV sasa kama wewe ni hakimu au wakili au unakesi au kesi unayo.
 
shida huu mfumo ChatGpt ndio unaokwenda kupitishwa mahakama zitumie unaweza kushusha watu CV sasa kama wewe ni hakimu au wakili au unakesi au kesi unayo.
Kibongobongo bado sana, na hiyo chatgpt bado haijafikia kiwango hicho.
 
Kibongobongo bado sana, na hiyo chatgpt bado haijafikia kiwango hicho.
kibongo wapi ndugu kwani USD na Gold zina panda na kushuka tokea rumumba au chawa wa CCM.
 
kibongo wapi ndugu kwani USD na Gold zina panda na kushuka tokea rumumba au chawa wa CCM.
Mzee chat gpt bado sana kutumika kwa ishu serious achilia mbali kwa siasa za Tz.
 
Back
Top Bottom