shida huu mfumo ChatGpt ndio unaokwenda kupitishwa mahakama zitumie unaweza kushusha watu CV sasa kama wewe ni hakimu au wakili au unakesi au kesi unayo.Hiyo kesi ni Lissu Vs Samia na genge lake.
Huko mahakamani ni geresha tu, jambo lao likipita Dpp ataifuta kiulaini.
Kibongobongo bado sana, na hiyo chatgpt bado haijafikia kiwango hicho.shida huu mfumo ChatGpt ndio unaokwenda kupitishwa mahakama zitumie unaweza kushusha watu CV sasa kama wewe ni hakimu au wakili au unakesi au kesi unayo.
Mzee chat gpt bado sana kutumika kwa ishu serious achilia mbali kwa siasa za Tz.kibongo wapi ndugu kwani USD na Gold zina panda na kushuka tokea rumumba au chawa wa CCM.